binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 17,188
- 47,957
Naona unapulizia kinyesi perfume. Unadhani ukimpamba kuwa ni Magufuli mpya ndio tutashoboka naye. Magufuli mwenyewe alikuwa analazimisha kukubalika hadi kuteka.Tangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuwa kipindi cha Magufuli ila yeye kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Naunga mkono hojaTangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuwa kipindi cha Magufuli ila yeye kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Tatizo sio KatolikiTangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuwa kipindi cha Magufuli ila yeye kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Mama Lameki wewe ni mama mjingaWewe ni mjinga
HAPANA! HAPANA! HAPANAAAAA!Tangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuwa kipindi cha Magufuli ila yeye kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Wewe ni mjinga
Duh , samahani kama nilikukwaza mkuuMatako ya mama yako yameoza
Magu alikuwa mtendaji haswa, akiamini kitu iwe jua au mvua lazima kiende, Mwigu mpiga maneno tu aka mwanasiasa!Tangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuwa kipindi cha Magufuli ila yeye kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Ulinivaa viabaya mkuu , sorry !!! TuishiDuh , samahani kama nilikukwaza mkuu
Hakuna kitu kama hichoTangia huyu mwamba atue kwenye ile nafasi unaona raha kumtizama mara ya mwisho kuangalia mikutano ya viongozi wa serikali ilikuwa kipindi cha Magufuli ila yeye kaja wananchi wanahisi wamepata mwokozi ikimpendez agombee 2030
Mwigulu, kama mwaikopo ni chawa wa makalioni mwa samuya. Anakula, kushinda, na kulala humo kama tegemeo pekee lake kula na kuuuunya na familia yake.Acha kujisifia ujinga we mwigulu.
Unadhani hatuijui hii ID yako?
Huyo Mwigulu ni msanii tu. Lakini Jiwe aliwatapeli nyie wanyongeMaigizo yake yasikudanganye.
Magufuli alikuwa na natural power, sio hayo maigizo ya kuigiliza.
Natural power + vested power = 💥💥💥