Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, Jumamosi ya tarehe 09 Agosti 2025 amefika nyumbani kwa marehemu Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, eneo la Njedengwa jijini Dodoma, kwa ajili ya kutoa pole na kusaini kitabu cha maombolezo.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Akizungumza na Jambo TV, Mwigulu ameeleza namna alivyokuwa akishirikiana naye katika Wizara ya Fedha akimkumbuka kwa kuhimiza na kutoa elimu ya kodi kwa wananchi. Aidha amemkumbuka kama mlezi wa wabunge wengi vijana hasa katika kuweka mizania kwenye kutoa hoja za majimbo na hoja za kitaifa bungeni.