TOURMALINE
Senior Member
- Jan 4, 2013
- 125
- 24
Unataka kuwa mtekaji na muuaji.
Kamwe shujaa wangu hawezi kufanya unyama kama huo.Anawapenda na kuwaheshimu watu wake.Hayo ni maneno ya kuchafuana.Atakuwa mfano kwangu daima
Nmemfuatilia tangia akiwa mchumi wa chama mpaka sasa naibu waziri wa fedha, ni m2 mwenye uchungu na maendeleo ya nchi yake.Anapenda kuona kiwango cha elimu, uchumi na maendeleo ya nchi kwa kila nyanja yanaboreka zaidi na zaidi.Kitu gani hicho ulichofuatilia ukaona yupo safi, ama ni ile skafu ya bendera ya Taifa. Maana huwa ni safi siku zote ninazomuona nayo.
Kamwe shujaa wangu hawezi kufanya unyama kama huo.Anawapenda na kuwaheshimu watu wake.Hayo ni maneno ya kuchafuana.Atakuwa mfano kwangu daima
wewe kwenu TANGANYIKA au TANZANIA
Huu mtandao sasa naona unapoelekea si pazur mashoga wanatuvamia, kabutuliwa cku moja tu kaja na sifa kemkem, na nasikia safar hii umepewa gar ile ya kilimo kwanza
Hongera sana mana naona una kipaji cha ku2kana cha hali ya juuShujaa wako anakutafuna??
Hongera sana mana naona una kipaji cha ku2kana cha hali ya juu
Kitu gani hicho ulichofuatilia ukaona yupo safi, ama ni ile skafu ya bendera ya Taifa. Maana huwa ni safi siku zote ninazomuona nayo.