Mwigulu Nchemba ni Simba anaeunguruma

Mwigulu Nchemba ni simba mzee.

simba akizeeka hukaa karibu sana na fisi ili aweze kupata mizoga iliyoachwa na fisi hao.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni upepo tu subiri kimbunga cha UKAWA,halafu huwezi kumlinganisha mwigulu na sokoine ni sawa na kulinganisha usingizi na kifo.
Ukawa ishapigwa dhoroba kali na Hon Mwigulu; kiufupi Mwigulu kaipoteza Ukawa
 
Bila kusema uongo,Mwigulu anatekeleza vizuri majukumu yake kwa faida ya wananch wote.
 
" The death around the corner" Mwigulu nae awe raisi au rahisi?watanzania tutakua wa ajabu kabisa, huyu ambae anachuki na wanahabari, wapinzani......Ni msaka tonge tu .
 
umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamesema watamuunga mkono mh,mwigulu nchemba pale atakapotangaza rasmi kwan ndiye mgombea pekee kutoka nje na ndani ya ccm mwenye uwezo wa kuikomboa tz kwa hapa ilipofikia. Nao umoja wa walimu vijana upo mbioni kutangaza azimio la kumuunga mkono mh mwigulu nchemba kwenye urais iwapo atatangaza nia.
 

acha kutudalilisha umoja wa walimu vijana eti tunamuunga mkono gaidi muuaji nchemba. Msitufanye cc ni kondomu enye wanaccm. Walimu tuna akili yakuchambua tena hasa tuliopita vyuo vikuu. Na mkome. Tafuteni wana ccm wenzenu ndo mseme wanawaunga mkono sio ss.
 
Mwigulu Mchemba anasiasa za kitoto sana, labda Kuna kitu anakitafuta ambacho sisi hatukijui.!
 

Vyuo gani ? Acha ubabaishaji au chuo chako mwenyew ? Huyo hata hajafikiriwa kwa wanazuoni na kama anakubalika aje chuoni kwetu tujue upepo wake. Nipm nikuambie chuo nilichopo aje apimie kama upepo wa hapa ataweza umudu.
 
Naona wengine wanajiandalia nafac za uwaziri tuu lkn c urais. hii nchi tuseme kwa bahat mbaya haitaongozwa na UKAWA basi kweli ndo iongozwe na j. Makamba au nchembe, hii ni dharau kubwa zaidi ya hii ya jk. Urais umekuwa raisin kweli
 

Mkuu pengine ni yeye mwenyewe kaanzisha UZI HUU KUJIPIMIA UPEPO WAKE!!
 

Wale madogo wa UDOM washaa lipwa chao?
 

Kuna wanafunzi wa vyuo vikuu siku hizi? Ni watoto wa advanced secondary school! Vyuo vikuu viliisha miaka ya 80!
 
Reactions: 999
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…