Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,271
- 5,366
Wewe ni miongoni mwa vijana nnaowaanini sana, kama hujui mi ni miongoni mwa watu waliokuchora na kukubandika maeneo mbalimbali ya nchi wakati wa kampeni. Nilitokea kukukubali sana kwa misimamo na uwezo wako wa kujenga hoja.
Nakumbuka kati ya watu waliopigania maslahi ya wafanyakazi we ni mmoja wako, kuanzia kipindi chako wakati upo Wizara ya Fedha mishahara imelipwa kwa wakati na kwa watu wote, tofauti na zamani ambapo utasikia Mtwara wamepata mshahara wakati Tabora hawajui lini watapata. Ulijitahidi sana(hongera).
Leo nimekuja na ombi moja tu kwako, kuna mtu anataka kuharibu jina lako kwa upumbavu wake na anaemlea. Huyu si mwingine ni DAUD ALBERT BASHITE, huyu anadhalilisha jeshi la polisi bila ya sababu za msingi. Take action before hujachelewa, anasumbua jeshi lako limsafishe kutoka Daudi na kua Paulo kitu ambacho watanzania tumesema no.
Huu ni ushauri tu.