Mwigulu Nchemba na Tuhuma za Ugaidi wa CHADEMA

mwigulu ni stupid hana analolijua hajui anadili na watu wa aina gani cdm watu wasomi na waelewa so yuko kwenye matatizo makubwa aprovu aliyoyasema na kwa ushahidi.
 
Nimesoma gazetini kuwa sasa amefikia hatua ya kumtukana Dr Slaa na familia yake matusi ya nguoni
 
Marekani na Nato ni wenyeji Libya au Iraq? na Tanzania wakati inaivamia Uganda kumng'oa Iddi Amini walikuwa wenyeji? Acha mifano ya kitoto

Na wewe acha Mfano usio na akili, Tanzania iliivamia Uganda au Uganda ndio iliyoivamia Tanzania

Acheni kupokea Misaada ya Wizi toka kwa Gadaffi na sasa Mnapindisha historia ya nchi yetu eti Tanzania iliivamia Uganda...

Sisi tuliathirika Vibaya Sana na hayo Mashambulizi ya Idd Amin pesa za wizi zimewajaa na kupindisha historia what goes around comes around
 
Hii Porojo haihitaji uwe na Elimu ya Kidato cha 4 kugundua kama imepikwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Ukisikia Upupu ndio huu...sioni haja ya kuumiza kichwa kwenye hii takataka.
 
mh kazi mnayo chadema kila mbinu mwatumi nyinyi mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…