Mwigulu Nchemba kesho ndani ya Iringa Mjini

Mwigulu Nchemba kesho ndani ya Iringa Mjini

DJ NYUKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
370
Reaction score
89
Wakuu ndani jf,

CCM wanapita kutangaza kuwa kesho kutakuwa na mkutano mkubwa ndani ya Iringa manispaa Mwigulu ataongozana na mawaziri wapatao saba lakini katika matangazo yao CCM hawajawataja majina ya hao mawaziri.
 
Mafuso na scania za kutosha zitakuwepo kila kijiji msihangaike swala la usafiri
 
Atatoa Shiling Ngap Kwa Kila Atayeenda Kwa Mkutano Wake, Au Amepeleka Tshrt, Kofia Na Khanga
 
Naomba Wananchi Wa Iringa Msusie Mkutano Wake, Hana Hoja Zaid Ya Matusi Tu.
 
Nawaasa kamateni hizo 10 watakazowapa,T- shirt chukueni mpeni Mh mwesiga kwa kuzichoma.
 
Ili kuwaaminisha watanzania kuwa siyo arusha tu bali hata maeneo mengine chadema wanahusika kulipua mabomu.
Nasema tena msiende mwingulu ni ngaidi la utawala huu.
 
mafuso na scania za kutosha zitakuwepo kila kijiji msihangaike swala la usafiri

mkuu malori yao haya hapa!
 

Attachments

  • MACCM NDANI YA LOLI.jpg
    MACCM NDANI YA LOLI.jpg
    54.2 KB · Views: 167
Wametangaza pia pilau na wasanii wa bongo fleva watakuwepo,na usafiri upo posho zitatolewa kupitia mabalozi wa nyumba kumi,manyani wote mnakaribishwa.
 
leo nani anagawa ela, anicheck kwa pm niko tayari kuhudhuria
 
wakuu wa jf naomba watu wa iringa wazuse kwenda kwny mkutano wa huyo msema hovyo,tupo pamoja saaana tu
 
leo nani anagawa ela, anicheck kwa pm niko tayari kuhudhuria

mkuu uko iringa,naomba kesho ucheki barabara la dodoma -iringa wasije wakaenda kubeba watu na malori kutoka pawaga,nyang'oro,na migoli.
 
Hatuna undugu na ukoo wa panya, tunavuta kumi kumi zenu, tunakula pilau na kuwachinjia baharini kama 2010
 
Back
Top Bottom