Mwigulu Nchemba awalipua UKAWA Babati

Mwigulu Nchemba awalipua UKAWA Babati

Yaani huyu Lowassa sijui ni MTU wa aina gani? Yeye Ana nadi Sera za chama bila kumsema MTU vibaya ila yeye anasemwa vibaya na kukaa kimya kweli hekima ni chanzo cha maarifa.piga kampeni lowassa shutumaa utazijibu ukimaliza kazi halafu 25 october tukuvike taji.
#Lowassa
#TumainiLetu
#2015ukawa
The person knows that he has filthy allegations in his life. Who doesn't know about Richmond?
 
Hivi huju jamaa kwenye kampain hanaga muda wa kunyoa ndevu?????
 



11140024_423170344551866_7522119029412212746_n.jpg




Huyu dada full yellow ana macho mazuri aisee
 
Magamba hayakati tamaaa... Unawezaje kujigamba na nguvu kidogo ya wenu ktk mikutano? Thubutuni gori lenu la mkono ndo mwajue watanzania!
 
Magamba hayakati tamaaa... Unawezaje kujigamba na nguvu kidogo ya wenu ktk mikutano? Thubutuni gori lenu la mkono ndo mwajue watanzania!
Who are the leaders? It seems you are still in utopia land.
 
Back
Top Bottom