Mwigulu Nchemba: Atua Hai, Vunjo, Mwanga na Same

Mwigulu Nchemba: Atua Hai, Vunjo, Mwanga na Same

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024


12065509_430666510468916_2949344703962473899_n.jpg

Wananchi wa Hai Mjini wakimpokea Mwigulu Nchemba kwa shangwe.
12039626_430666563802244_3358751447573480193_n.jpg

Mwigulu Nchemba ameshawasili Hai Mjini kuzungumza na Wananchi na Kumuombea Kura Rais Mtarajiwa kutoka Chama cha Mapinduzi Ndg,J.Pombe Magufuli.
12079513_430666610468906_1900282480225230556_n.jpg

Mwigulu Nchemba akitoa Darasa kwa Wananchi wa Hai Mjini kuhusu Umuhimu wa Kuchagua kiongozi kwa Malengo,sio kuchagua Uongozi kwa Kishabiki."Wanahai naomba Mmchague Magufuli kwasababu ndiye kiongozi anayeweza kushughulika na Matatizo ya Wananchi wetu hasa swala la Rushwa,Uzembe maofisini na wadhurumaji.Kwa hapa Hai mmeshaonja ubaya wa Upinzani,hawajishughulishi kwa maendeleo Zaidi ya kupiga kelele zisizokuwa na tija kwa Wanahai".
12032248_430666703802230_7920718042034142266_n.jpg

Wananchi wa Hai wakisema Nguvu Moja.
12033026_430666797135554_6168875974799003708_n.jpg

Mwigulu Nchemba akiwasili USA river hapo jana.
12038511_430666733802227_1825254522527126407_n.jpg

Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya CCM Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa USA River mapema hapo jana.
12074941_430666830468884_1065071166966987949_n.jpg

Mbunge mtarajiwa wa Moshi Mjini Ndg.Davis Mosha akisalimiana na Mwigulu Nchemba wakati wa Mkutano wa hadhara ndani ya kata ya Sokoni.
12079494_430666913802209_1657029922218945291_n.jpg

Mwigulu Nchemba akimnadi Davis Mosha mbunge Mtarajiwa kwa Moshi mjini.
12032005_430666937135540_6300423914878819122_n.jpg

Mwigulu Nchemba akiwasili Same Mashariki.
12074747_430666977135536_2269769044830935670_n.jpg

Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Same Mashariki Bi.Anna Kilango Malecela mapema hii leo wakati alipokwenda kuinadi Ilani ya CCM.
12043043_430667017135532_7168186954452293774_n.jpg

Comrade Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Same Mashariki kuhusu Umuhimu wa kufanya Uchaguzi kwa Amani,Pia kuichagua CCM kwasababu imefanya kazi kubwa kuiletea Maendeleo Nchi yetu,Kwa Same serikali ya Magufuli nakwenda kujenga Barabara kwa kiwango cha Rami kuelekea Nkomanzi na Same Mashariki.
12088367_430667073802193_65543904638201026_n.jpg

Wananchi wa
12074622_430667053802195_8495145252747526551_n.jpg

Mwigulu Nchemba akimndai Mathayo David Mgombea Ubunge Jimbo la Same
Magharibi.
12079448_430667110468856_6747278706100071686_n.jpg

Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea wa Vunjo kupitia CCM Ndg.Innocent Shirima hii leo.
12046988_430667137135520_563632145010577400_n.jpg

Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Vunjo kuwa Mabadiliko sio vyama,Mabadiliko ni shughuli za maendeleo na Utendaji kazi.Magufuli anakwenda kubadilisha Utendaji kazi na Usimamizi wake.

Picha na Sanga R.​
 
Ukipita barabata ya singida kuanzia shelui mpaka dodoma kuna wananchi wamepanga mazao barabarani kuanzia cooking oil nyanya maboga vitunguu karanga nk
badala ya kuwasaidia wapate soko la uhakika yeue anaxunguka na chopa...ushauri wangu angeutumia huu uwaziri wake kuwatafutia masoko nje ya nchi msisha ya watz yange kuwa poa
 
Back
Top Bottom