Mnamlaumu bure Mwigulu. Hapo ndio mwisho wa uwezo wake kufikiri,na hiyo ni mbinu iliyo onwa na kuratibiwa na timu yake ya propaganda inayoongozwa na Mtela na yule Juliana Shonza.
Ndio maana wakionekana mahali tuu kesho yake utakuta mawe au nyumba zimeandikwa hivyo. Hapo unakuta mzee wa kijijini kapewa elfu 20 na karuhusu nyumba yake iandikwe hivyo. Kinana alipompiga marufuku Mwigulu kuzurura na kampeni zake kikubwa nikuwa aina ya kampeni zake zilionekana ni za kienda wazimu na aibu kwa chama.