Mwigulu Nchemba atikisa Jimbo la Kisesa

Mwigulu Nchemba atikisa Jimbo la Kisesa

Simiyu tumejipanga wenyewe wataisoma alikuja mke wa Lowasa na utapeli kama wa mumewe kule pale itilima tukamtoa baru.

Umelogwa wewe tena huna muda utageuzwa msukule, hebu angalia hii kisha nipe jibu yamefanywa na nani
1. Wanawake kujifungulia Sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya Miti
3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege

5. wizi wa ESCROW

6. Ufisadi wa EPA

7. Ufisadi wa RICHMOND

8. Ujangili Uliokithiri

9. Mikataba Mibovu ya Dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba ya NAFCO, VIWANDA, NBC nk

13. Huduma duni za Afya

14. Huduma Mbovu za Elimu

15. Ukosefu wa Maji

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika

17. Gharama kubwa za Umeme

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi na kubana mama lishe na chinga kulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Kitendo cha kukataa Rasimu ya Katiba

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana Nyumba za Serikali

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi

26. Mauaji ya Mvungi na wengine siwezi wataja unawafahamu

27. Ukosefu wa Madawa mahospitalini

28. Gharama kubwa za elimu kwa watoto

29. Nyumba za Tembe

30. Kufa kwa mazao ya Biashara; Kahawa, pamba,tumbaku, chai, n.k

31. kujimilikisha mgodi wa Kiwira

32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzi mdogo wa Tarime

33. Ufisadi wa Deep Green

34. Ufisadi wa Meremeta

35. Mabomu ya Arusha

36. Uvamizi wa vituo vya Police

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi

38. Mabehewa Feki ya Treni

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo

Tafakari na chukua hatua, fanya maamuzi ya busara
 
mwiguli a.k.a fidel castro bado anapiga kazi,sana,tena katika kuwasaidia wenzake.
nadhani yeye kwake ana hakika atatoboa
 
akishindwa na mtu mwenye uwezo zaidi yake ni sawa. Lakini ni mwnaccm ambaye anapokuwa anatoa hoja bungeni anaeleweka na anaonekana anajua anachokifanya.
Mkuu hako kajamaa kalikuwa kasanii sana.

Yote kaliyokuwa kanayafanya ilikuwa ni hasira ya kukosa uwaziri, ndo maana kakawa na hasira na serikali ya kenyewe!! Jimboni kwake hakuna cha maana alichokifanya na atoke tu!!
 
Hili jimbo William Masanja wa CHADEMA atashinda kwa kishindo.
 
Back
Top Bottom