Mwigulu Nchemba atikisa Jimbo la Kisesa

Mwigulu Nchemba atikisa Jimbo la Kisesa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12047074_428101090725458_1216147968023663156_n.jpg
Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa-Meatu Ndg.Mpina wakiwasili Uwanja wa Mkutano hii leo wakati wa Ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.
12002080_428100854058815_5135986780182457092_n.jpg
12003212_428100804058820_8832908201740269439_n.jpg
Mapokezi ya Mgombea Ubunge Jimbo la kisesa wakati wa Mkutano wa kufungua kampeni za Ubunge na Udiwani hii leo.
12042708_428101204058780_7143938062512622436_n.jpg
Mwigulu NChemba akisalimiana na Wananchi wa Kisesa hii leo alipokwenda kufanya ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.
12032154_428100934058807_4845867612073923492_n.jpg
Makada wa chama cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kufungua Kampeni Jimbo la Kisesa.
12038119_428101027392131_3643435805773286259_n.jpg
Kada Mtiifu wa Chama cha Mapinduzi Loveness Mamuya "Iron Lady" anayeishi Nchini Marekani ameshiriki tukio la Ufunguzi wa Kampeni wa Jimbo la Kisesa na Zaidi amekuwa akishiriki kampeni zinazoendelea za Uchaguzi Mkuu wa nafasi ya Madiwani.Ubunge na Urais Nchini.Loveness Mamuya amewaomba Watanzania na Wananchi wa Kisesa kuhakikisha wanafanya Uchaguzi wa Amani,Watu wajitokeze kupiga kura na Waichague CCM katika nafasi zote tatu kwakua ndio chama chenye Dira na Ilani bora ya kuinua Maendeleo ya Wananchi.,Mbali na hilo Mamuya alisisitiza kuwa atatumia Ukada wake wa Chama cha Mapinduzi kuendelea kuwashawishi Watanzania kuhakikisha Magufuli anashinda nafasi ya Urais kwakua rekodi ya Uchapakazi wake inaleta matumaini kuwa Tanzania inakwenda kusonga mbele.
12002207_428101260725441_5937126730556210422_n.jpg
Mwigulu Nchemba akibadilishana mawazo na Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa Ndg.Mpina.
12033241_428101317392102_952279355277931845_n.jpg
Mwigulu Nchemba ambaye ameshiriki zoezi la Ufunguzi wa kampeni Jimbo la Kisesa,Amesisitiza Watanzania kuachana na Walaghai wa kisiasa kuhusu Mabadiliko,Amesema amabadiliko ya kimaendeleo ndio ya kuzingatia na sio Vyama vya Siasa.Tanzania ya Mwaka 1961 na ya leo 2015 katika elimu,Afya,Miundombinu n.k imebadilika sana,Hivyo CCM bado inanguvu ya kuhakikisha kasi ya Kuleta maendeleo inaongezeka .Pia amesisitiza Wananchi kujitokeza kupiga Kura kumchagua Mgombea Urais wa CCM Ndg.J.Pombe Magufuli na Wabunge/Madiwani wote wa CCM.
12011406_428101360725431_4558932481208289253_n.jpg
Sehemu ya mamia ya Wananchi wakishangilia hotuba ya Comrade Mwigulu Nchemba.
12036931_428101344058766_6058100538833515500_n.jpg
Mh.Mpina akiwa na Wazazi wake wote wawili wakati akiomba ridhaa ya kuongoza tena jimbo la Kisesa,Kuba ameahidi kuboresha Elimu kwa kuhakikisha anasambaza mfumo wa kutumia Computer kwenye shule zote kwasababu alishawanunulia Sola za Umeme kwa kila Shule,Pia uboreshaji wa maji kwa kuvuta kutoka Shinyanga kwenye mradi mkubwa unaotokea Ziwa Victoria,Zaidi amesisitiza kuhakikisha Barabara za jimbo la Kisesa zinafikia kiwango cha Rami.
11863384_428101404058760_2686777564404242849_n.jpg
12038171_428101207392113_816794777856114422_n.jpg
Mh.Mpina akiwa na Kada wa Chama cha Mapinduzi kutoka DMV Marekani Bi.Loveness Mamuya.Chama cha Mapinduzi kwa Tanzania ndio chama pekee chenye Mtandao Mkubwa wa ndani ya Nchi na hata Nje ya Nchi,sababu inayopelekea CCM kuwa na Wafuasi wengi kuliko chama chochote kile hapa Tanzania.

Picha na Sanga Festo Jr.​
 
I feel so honored to be the first comment. All of my hard
work and dedication has paid off. Getting the top comment
has been a dream of mine for many years, and i would like
to thank those who have helped me along the way. First
and foremost i would like to thank god for giving me this
opportunity. Next i would like to thank my parents. I want
to thank my friend Josh Arcaro, for being really skinny and
always there for me. I would also like to thank my pet
Masala kulangwa for surviving against all odds for over a
week. Next
i would like to thank the squirrel that lives in my backyard
for climbing trees because that gives me inspiration that i
need to get through the day. This is a special moment in
my life and i would like to thank any of my unmentioned
friends and family that have helped me along the way. This
moment will be a moment that i will never forget. I just
remembered a few other people i would like to thank;
Jamiiforum, the fish i caught in the third grade, my light in
my room bc i wouldn’t be able to see the keyboard without
it, the internet for letting me go on jamiiforum, my house
because without it i would be homeless, and last but not
least i would like to thank all the people out there that
actually took time out of their day to read this. I cannot
stress how much of a big deal to me this is. I have been
trying to be the first comment on a post for years, but that
has not been possible until this amazing day. Hopefully my
good luck will continue, but this is undoubtedly a rare
occasion. If you asked me how i did this, i would say, you
can achieve anything u set your mind on. To all the kids
out there reading this, i would like to tell them to follow
their dreams. Being the top comment is amazing, thank
you everyone
 
mbona hamna watu pana hali ya mashaka hapa mahali labda kwa udhamini wa twaweza lakini kwa hao jamaa ukawa itapeta kinoma hawapendi wamarekani wawatawale
 
Dah!!Hadi magwanda ya UKAWA mnaiga???kweli kweli nasema ccm mmechoka!!!!!hadi kinyaa sasa
 
awamu hii hashindi maana amekaliwa vibaya sana na jamaa la ukawa!

akishindwa na mtu mwenye uwezo zaidi yake ni sawa. Lakini ni mwnaccm ambaye anapokuwa anatoa hoja bungeni anaeleweka na anaonekana anajua anachokifanya.
 
Simiyu tumejipanga wenyewe wataisoma alikuja mke wa Lowasa na utapeli kama wa mumewe kule pale itilima tukamtoa baru.
 
Wananchi inabidi wapewe elimu ya kutosha, kwamba hii ni VITA DHIDI YA KATIBA YAO (LOWASSA) NA ILE KATIBA INAYOSUBIRI KUPITISHWA KIBABE, KATIBA PENDEKEZWA (MAGUFULI).

Huu ndio wakati wao wa kuifurusha hiyo katiba kandamizi (katiba pendekezwa).
 
UWatu wachache pamoja na mwigulu kuwepo, inabidi mbunge wangu afanye kazi ya ziada
 
Back
Top Bottom