Mwigulu Nchemba and the family

Halafu sijui kwanini siku hizi kafuga midevu
 
Kumbe akiwa nyumbani mpenzi wa nyimbo za BUSHOKEEEEEEEEEEEEEE
 
Yan Huyo Mwanamke Mjinga Ameshindwa kumuongoza mume wake akawa mume bora, amebaki kuhatarisha amani ya Nchi
 
Halafu sijui kwanini siku hizi kafuga midevu

Naz...kuna jamaa mmoja alivyoiona hii picha alinichekesha sana maana aliuliza hivi, "Eti huyo jamaa mwenye nguo ya kijani atajifungua lini, maana naona ujauzito wake ushakuwa mkubwa"
 
Majitu ambayo mitaani yanafanya matendo ya ukatili au ubabe nyumbani unaweza kuta hata hayakohoi yanabaki kubebeshwa watoto,kuosha vyombo na wasipotimiza yanawakuta haya;

 
Hapo ni jimboni? Manake kama ni jimboni, sitashangaa sana coz huenda walikuwa wanajiandaa kumpeleka mtoto kliniki, na kule kliniki ziko mbali sio chini ya kilometa tatu. Kwa hiyo kumbeba mtoto kilaini laini unaweza ukafika hoi.

Lakini hii ina kila dalili za kumwambia mama watoto, hebu nifungie mtoto na kitenge kabisa. haya, wa kamera....moja...mbili...tatu....kwachaaaa....
 
Nimeipenda picha! Ndani ya familia shwariiiiiiiii....kama maji ya mtungini! Keep it up kwenye upande huo
 
mbona mke wake anaonekana mstaarabu??? she seems sh dozn't knw even how tindikali lookslyk..so wats wrong with ths madevu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…