Mwigulu Nchemba ameleta maendeleo jimboni kwake

Mwigulu Nchemba ameleta maendeleo jimboni kwake

MANDAL JR ANAFIKIRI SCIENCE KIT MOJA YA MAABARA INAUZWA BUKU SABA ALOZOEA KULIPWA AKILETA UZUSHI HUMU. NJOO TUKUPE BEI. LABDA MWIGULU ATOE HELA ZOTE KWENYE AKAUNTI YAKE ALIZOPATA WAKATI WA UTUMISHI USIOTUKUKA BENKI HELA ZETU ZILIPO EPA, PIA ATOE ZOTE ALIZOPATA WAKATI WA UHAZINI LUMUMBA Ndo maabara zitajengwa. Otherwise usilete uongo humu

MANDAL JR= Ndio nini???

Eti na wewe ni JF GOLD MEMBER!!!! Vituko haviishi...
 
aaaaah aaaaaah!!! Maaabara singida nzima ni ndoto ya mchana kweupe peee!!! Kilimanjaro imeshindwa ni singida aaaah aaaaah

Alafu taifa hili kwa kuwa na watu wasiofikiri ni shida sana. Kabla ya kuchepuka kwe mambo mengine mimi nimekuwa mwaalimu kwa miaka saba. Nimekuwa mtaaluma, makamu wa shule na nimekaimu shule mwaka mzima.
Hii siasa ya kujenga maabara si ya leo nenda mijini majengo ya maabara yapo. Maabara siyo jengo peke yake ninafahamu shule zimejengwa miaka mitatu iliyopita hadi leo wanafanya alternative papers.
Nikiwa academic ilituchukua mwaka na nusu kujenga jengo lakini ilichukua miaka mitatu kuweza kufanya practical paper mitihani ya taifa. Vifaa vya maabara ndio maabara maana ukiwa navyo hata darasa unawezalifanya maabara. Tuliomba ufadhili sehemu mbalimbali na baada ya miaka miwili ndipo mamlaka ya hifadhi ngorongoro ilijitokeza kununua sehemu ya vifaa ambavyo pia iliwachukua mwaka kukamilasha. Bado hadi naaga ajira ya serikali kwenda kwenye taasisi nyingine maabara ilikuwa na mapungufu mengi japo kwa kuungaunga inafanikisha lengo. Maabara kwa maana ya ccm ni jengo ila mahali pengi mimepita maabara zimegeuzwa madarasa maana hamna vifaa. Vifaa vya maabara ni expensive sana ulizia bei tu ya test tube maana ni ndogo sana utashangaa sembuse chemicals kuna kikopo tu gram 500 kinauzwa laki moja. Kwahiyo kisiasa maabara zinaweza kujengwa lakini zikawa nyumba za popo maana hamna sera ya elimu nchi hii. Elimu inaamuliwa na matakwa ya siasa inataka nini kwa minajili ya umaarufu.

Mambo yanatakiwa kufanyika kitaalamu siyo kisiasa kwahiyo hizi maabara zinazopigiwa kelele fanyeni utafiti mje na majibu sahihi siyo jengo la milion 20 ukazani kazi imeisha. Mifumo ya maji safi na taka, ya nishati na kumanage pollution haipo. Hakuna vifaa karibu million mia na tunajipongeza tuna maabara. Jengo ni theluthi moja tu ya gharama za vifaa. So kama hamna plan tukubaliane mnajenga madarasa tu. Sehemu nyingi fanya utafiti uone mmejenga madarasa badala ya maabara maana kitu huwa kamilifu kinapofanya kazi yake. Ndio maana nikiwasikia mkibwabwaja humu huwa nacheka sana!! ccm bwana kwa hadaa mmezidi.

Huu ujenzi wa maabara, kwa Arusha na Kilimanjaro sidhani kama utafanikiwa! Tatizo linafahamika Mkuu.
Kanda ya huko hamtaki maendeleo mnataka "vurugu" na kulazimisha nyekundu kuwa njano.
Acheni wananchi wanaohitaji maendeleo/mabadiliko wafaidike nayo....
 
Huu ujenzi wa maabara, kwa Arusha na Kilimanjaro sidhani kama utafanikiwa! Tatizo linafahamika Mkuu.
Kanda ya huko hamtaki maendeleo mnataka "vurugu" na kulazimisha nyekundu kuwa njano.
Acheni wananchi wanaohitaji maendeleo/mabadiliko wafaidike nayo....
Boga ni boga tu hata ukilikaanga. Unafananisha tembo na sisimizi!!! Kilimanjaro na singida aaaaaahaaaaah!!! we boga kweli. Uchizi wote huu unamuuza Mwigulu aaah Bora kuuza bata kuliko mwigulu hauziki hata kwa mkopo.
 
mods Uzi huu muache muda mrefu vijana Wa bavicha wauonee wajifunze kuwatumikia wananchi wao.
 
Back
Top Bottom