Mwigulu Nchemba ala Matapishi yake

Mwigulu Nchemba ala Matapishi yake

Standalone

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
676
Reaction score
576
Ni kwa siku za Hivyi karibuni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amekuwa nazunguka vijiji kadhaa ndani ya mikoa ya Tanzania kwa kutumia Helcopter(CHOPA)

Akianzia Tanga, Morogoro na juzi Akatembelea VIJIJI VIWILI KWA CHOPA KWENYE JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI KWA TUNDU LISSU(CHADEMA)

Watanzani na wadau wa siasa mnaofuatilia siasa za Tanzania mnamo mwishoni mwa mwaka 2013 baada ya uchaguzi mdogo wa madiwani sehemu mbalimbali hapa tanzania mtakumbuka maneno ya Naibu waziri wa fedha na naibu katibu mkuu CCM bara Mwigulu Nchemba kisema kuwa chadema kuendelea kutumia chopper helicopter ni matumizi mabaya ya fedha,Pia akawasihi wananchi waikatae chadema kwa kuwa hawawezi kuwajali maskini maana wao wanaruka juu tu na chopper KUMBE ILIKUWA NI GERE...

Sasa amepata nafasi ya kutumia chopa amesahau maneno aliyoyasema mwaka mmoja umepita..

HII NI SAWA NA KULA MATAPISHI YAKE.
1551760_344917655699856_3706281704076451199_n.jpg

Picha juu Mwigulu na akichekelea kupanda chopa...
 
Namheshimi sana Mwigulu kwa uzalendo wake, lakini kuna maswali hapa yananitatiza.

Tunasema kwamba viongozi kama mawaziri wasipokee zawadi kubwa toka kwa wafanyabiashara kwa kuwa zawadi kubwa zinahusianishwa na rushwa

Tibaijuka kawajibishwa kwa kupokea zawadi ya Tshs 1.6 billion toka kwa mfanya biashara.

Iweje basi, kwa Tibaijuka iwe si sawa kupokea zawadi ya Tshs 1.6b, na kwa Mwigulu iwe sawa kupewa zawadi ya huduma ya chopa ya bure na mfanya biashara? Je, tunaelewa thamani ya huduma ya chopa hiyo ikiwa Mwigulu angetakiwa kuilipia kuzungukia mikoa ya Tanzania? Na kama huyo mfanya biashara angempa Mwigulu hizo fedha ili akakodi chopa, ingeonekana ni sawa?

Na huyo mfanya biashara atapata nini toka kwa Mwigulu? Je Mwigulu ataweza kumkatalia chochote atakachodai akijua alifadhiliwa kwa chopa?

Naona tuna tatizo la double standards.
 
Naona tuna tatizo la double standards.[/QU

mkuu mwigulu hana uzalendo wowote ni mganga njaa anayetumia jukwaa la siasa kutafuta umaarufu ni hopless kabisa
 
Mbona yapo mengi ccm! Pinda kutangaza nia Urais kabla ya wakati ni halali ila kwa akina Lowassa ni haramu
 
Nchemba magumashi 2pu yeye akili zake kupanga ugaidi na kuzini na wake za wa2 halafu ndo ccm wanasema ni sokoine wa 2. Ugolo m2pu.
 
Eti Mwigulu mzalendo!upuuzi mtupu,watz wanashawishika na vitu vidogo sana asee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Namheshimi sana Mwigulu kwa uzalendo wake, lakini kuna maswali hapa yananitatiza.

Tunasema kwamba viongozi kama mawaziri wasipokee zawadi kubwa toka kwa wafanyabiashara kwa kuwa zawadi kubwa zinahusianishwa na rushwa

Tibaijuka kawajibishwa kwa kupokea zawadi ya Tshs 1.6 billion toka kwa mfanya biashara.

Iweje basi, kwa Tibaijuka iwe si sawa kupokea zawadi ya Tshs 1.6b, na kwa Mwigulu iwe sawa kupewa zawadi ya huduma ya chopa ya bure na mfanya biashara? Je, tunaelewa thamani ya huduma ya chopa hiyo ikiwa Mwigulu angetakiwa kuilipia kuzungukia mikoa ya Tanzania? Na kama huyo mfanya biashara angempa Mwigulu hizo fedha ili akakodi chopa, ingeonekana ni sawa?

Na huyo mfanya biashara atapata nini toka kwa Mwigulu? Je Mwigulu ataweza kumkatalia chochote atakachodai akijua alifadhiliwa kwa chopa?

Naona tuna tatizo la double standards.

Ana uzalendo gani naomba ufafanue tujue manake naona unajipaka mbolea
 
huyo jamaa anayepiga picha hapo sio Stela Mwampamba huyo?kutoka mbunge mtarajiwa hadi mpiga picha wa Mwigulu.
 
Mwigulu mpumbavu sana wananchi wake wanateseka maji hamna wanafunzi wanasomea chini hakuna madawati yeye yupo huu na chopa kama mbayu mbayu
 
Back
Top Bottom