Mwigulu Nchemba akisaidia kulea mtoto

Swali (1) wewe ni KE au ME, (2) kama ni ME, picha hii ya chumbani umeitoa wapi (3) ni mtoto kwa mke yupi wa Igunga (4) Ushauri. kaa mbali na huyu jamaa haaminiki kwani ukimuachia watoto kulea unaweza kuta hata na wakiume wana mimba.
 
Yupo kwa nyumba ndogo au?
Maana sitajii waziri aishi kwenye kichumba cha hivo...

Unaweza kuwa sahihi kwa sababu najua familia yake ipo Dar es salaam na ninavoiju Dar es salaam na joto lake huwezi jifunika blanket tena kama hilo hapo kwenye picha maana yanaform joto sana mablanket
 
Sasa picha ya mwanaume mwenzio akiwa chumbani umeitoa wapi wewe naye??
 
hii picha niliiona kwenye fb ya mwigulu mapema mwaka jana.zilikuwa tatu tofauti.
 
Majitu mengine mashamba kweli! Yaani hata kulisha mtoto ni kitandani? Sasa unatofauti gani ni mtu anayeishi kwwnye nyumba ya uawazi?
 
Ujanja ukiwa na skafu yako na majidai kibao kumbe nyumbani ni houseman, kwisha habari yako tena anakuambia nikuone nje utanitambua!!! hahahahahahaaaaaa!!!!!!!!!
 
Reactions: ral
kuwa na akili ya kawaida sio kitu cha kawaida. Sasa baada ya kuweka hiyo picha sisi tufanye nini. Au wewe ni mfuasi wake.
 
whaaaat aaaall thiiiis fooor???????
 
Sasa akimlisha mtoto wake kuna tatizo gani hapo,watu bhana
 
Sasa akimlisha mtoto wake kuna tatizo gani hapo,watu bhana

hehhee watu wanachuki kutoka moyoni ..kisa ushindani wa kisisa .
hii pocha mkuna mtu akiiona ... anasikia kutapika pasipo sababu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…