Mwigulu Nchemba akataliwa Lang'itomoni Kiteto

Mwigulu Nchemba akataliwa Lang'itomoni Kiteto

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
1,224
Reaction score
512
Jana ktk mkutano wa hadhara Kiteto kwenye kata ya Partimbo Kitongoji cha Lang'itomoni.Naibu katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba ktk maswali na majibu Kijana mmoja aliuza swali kwanini? Wewe Waziri ndio uje kumnadi mgombea udiwani na wakati tuna Mbunge wetu yuko wapi?Nchemba akashindwa kujibu na kubaki kujing'atang'ata.baada ya hapo akasema CCM hoyee kimya CCM hoyeeeeeeeee kimya akashikwa na hasira ndipo anawaambia Morani mlioko mahali hapa Wapigeni Chadema viboko maana tulikua jirani tukifanya kampeni.Ndipo watu wote wakaondoka kwenye mkutano wa CCM na kuja kwenye mkutano wa Chadema huku wakizomea.Kweli mwisho wa CCM umefika wamekataliwa kama shetani alivyokataliwa na Mungu mbinguni.

Source mimi mwenyewe 0789608383
 
Huku arusha anasubiriwa kwa hamu sana atapotea yaani tutamzodoa mpaka mwisho
 
Huyu naye hasikii wala haoni. Mwaka jana si alizunguka na Musa Tesha mwishowe akapigwa 4-0 katika uchaguzi wa madiwani kata 4 za Arusha. Sasa amefuata nini tena huko? Hajatosheka na aibu aliyoivuna?
 
hata sura lake limekaa kiroho mbaya
 
Huyu naye hasikii wala haoni. Mwaka jana si alizunguka na Musa Tesha mwishowe akapigwa 4-0 katika uchaguzi wa madiwani kata 4 za Arusha. Sasa amefuata nini tena huko? Hajatosheka na aibu aliyoivuna?
Mungu amewapiga upofu
 
Mwigulu Nchemba, the ASSASSIN.............................

739014474.jpg
 
Back
Top Bottom