Baada ya mkutano uliohutubiwa jana mjini Karatu na Mwiguru Nchemba nakuwaita wakaazi wa Karatu 'Nyumbu'
Jana usiku wakati wa chakula cha jioni viongozi wa Ccm wakiongozwa na Katibu wa Wilaya walisikika wakilaumiana kwa kitendo cha Mwiguru kutukana nakuperekea mgombea Udiwani Bw. Ally Ally kususia chakula kwakudai kua wameharibiwa kwa wananchi.