Mwigulu Nchemba aivaa CHADEMA na Dr. Slaa

Mimi katika wanasiasa ambao nilisha futa kuwa hofia katika medani za siasa za Tanzania Mwigulu namba 1. VIVA CDM
 
Mwigulu hana jipya..kila siku ni chadema, chadema, chadema, chadema hakuna kitu kingine cha kunadi ni chadema , dr.slaa , chadema, dr.slaa, chadema , dr.slaa...ndio maana wanashindwa kufanikisha ilani zao za danganya toto..wao nguvu zoote wameelekezA kuidhoofisha chadema. Ndio maana hata chaguzi wanashindwa maana wao wanafanya siasa kama vita, chuki, u adui ect.mwigulu let me tell u something. ..dr.slaa humuwezi na sio size yako.na hutakaa umuangushe dr.slaa hata siku moja.pole sana .
 
Unajitekenya alafa unacheka kweliiiii
Hii ni Tanzania tu...
 
Huyu Mwingulu ni mbabaishaji tu ni wa kupuuzwa
 
The same old stories......ujinga tu
 
kuna ki2 hakiko sawa kwenye akil za watu flan na ndio tatizo kubwa tunaloangaika nalo.
 
Kabla ya uvamizi wa taifa la Babeli dhidi ya Israeli (606 B.C.), nabii Yeremia aliomba kwa bidii amani juu ya taifa la Israeli lililoasi. Mungu alimjibu nabii Yeremia, "Basi, wewe usiwaombee watu hawa, wala usiwapazie sauti yako wala kuwaombea dua, wala usinisihi kwa ajili yao; kwa maana sitakusikiliza. Je, huoni wanavyotenda katika miji ya Yuda, na katika njia kuu za Yerusalemu?" (Yeremia 7:16, 17).

Watanzania wajinga unaweza kuwadanganya Mwingulu Nchemba, lakini si Mungu na Watanzania werevu! Eti, Mwingulu Nchemba anaombea amani nchi hii!! Awful! Mungu si mithili ya wanadamu wajinga unaowadanganya huku Iramba Magharibi! Ikiwa Mungu alimkatalia nabii wake Yeremia, mwenye haki, Israeli ilipoasi na kuacha haki, sebuse wewe Mwingulu Nchemba unayetajwa kwa maovu mengi ni nani wewe? Mungu hawasikii wenye dhambi kama wewe - Yohana 9:31.
 

Hizo bara bara zinajengwa wapi jamani, mbaona mnaleta propaganda mbaya kwenye Jimbo Letu??? Au mnajenga angani?? Maana Juzi tu nilipita katika njia unazozitaja kama barabara na sikuona hata koleo acha grader au Bull Dozer.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…