Mshaanza kupanic kwani kusafirisha watu kunawahusu, kutembea kwa miguu kutoka Mbagala hadi posta nako pia ni kusafiri ila nikwa dizaini nyingine.......watu mnahisi kusafiri lazima utumie chambo chamoto. Tulieni msipanic ..........JK alisema "Tutawanyoosha", Tutawanyoosha" mlifikiri mchezo....... kwa wale walio Dar es salaam Tukutane Konner Baa, Buguruni usiku na mzee wenu kujifunza shida za Dada Poaaaaazzzzzzzzzzzzzz......Peopleeeeeeeeeessssssss.Aliyeianzisha na kuifa hii style mafuriko ndo kaleta taabu yote hii



