Uongo ni asili yake,jina analotumia si lake,mtu anaeiba hata jina ni kuogopwa,leta huo mkanda kaka tuuone. Watanzania wa leo si kama wa jana. Kwa kumtazama tu Mwigulu anaonekana ana mtindio wa ubongo,tumsamehe bure anahitaji maombi.
kitu ambacho ccm wamekosea ni kuweka vijana kama Mwigulu Lameck kwenye nafasi za juu za chama,hawajuwi kujenga hoja kabisa,hawa ndio wanaoharibu chama
Naangalia EATV, namuona Mh. Mwigulu Nchemba akiijadili CHADEMA na moja ya vitu anavyozungumza ni CHADEMA kuwa na makundi mawili huku kundi moja lenye nguvu linaongozwa na wanakaskazini ambao wanawatumia wanachama wao kama karai wakimaliza kazi Yao (CHASATA).
Lakini mheshimiwa alienda mbali zaidi akisema anamshangaa msajili wa vyama vya siasa kwa kukiacha chama hicho kiendelee na kazi huku akijua ni chama kinachopanga mauaji ya watanzania na yeye akiwa na ushahidi wa mkanda video.
Wadau ikoje
Nchemba ni kati ya watu waliopewa nafasi ndani ya chama cha mabubaliano ya kutaka kukichafua CHADEMA kwa mbinu ambayo inaonekana kuwa dhaifu maana waliomtuma pia dhaifu. Hivyo anahaha kujinasua asije akatemwa kabla ya wakati. Atazunguka channels zote nchini kutangazia umma kuwa CHADEMA wanapanga mauaji bila mafanikio, mwisho wake waliomtuma watamtema kama walivyomtema mkongwe WM-Wilson Mkama!! Jeshi la polisi lenye watu wa profession za upelelezi wameshindwa kubaini kuwa CHADEMA wanapanga mauaji, leo yeye hata sifa za kuwa polisi jamii hana, anakuja na polojo za kitumwa, try other options, hiyo ime-fail!!
Naangalia EATV, namuona Mh. Mwigulu Nchemba akiijadili CHADEMA na moja ya vitu anavyozungumza ni CHADEMA kuwa na makundi mawili huku kundi moja lenye nguvu linaongozwa na wanakaskazini ambao wanawatumia wanachama wao kama karai wakimaliza kazi Yao (CHASATA).
Lakini mheshimiwa alienda mbali zaidi akisema anamshangaa msajili wa vyama vya siasa kwa kukiacha chama hicho kiendelee na kazi huku akijua ni chama kinachopanga mauaji ya watanzania na yeye akiwa na ushahidi wa mkanda video.
Wadau ikoje
EATV nayo imeshakuwa kituo cha kitoto.inakubalije mtu ambaye hana hoja yoyote ya kutatua kero za wananchi kazi chadema tuu kupoteza muda bure.mengi nae anazeeka vibaya.mbona hawamualiki deo filikunjombe ambaye anazungumzia kero sio maujinga ya huyo mpumbavu anayeza ngono muda wote kama aliye mteuwa.
Naangalia EATV, namuona Mh. Mwigulu Nchemba akiijadili CHADEMA na moja ya vitu anavyozungumza ni CHADEMA kuwa na makundi mawili huku kundi moja lenye nguvu linaongozwa na wanakaskazini ambao wanawatumia wanachama wao kama karai wakimaliza kazi Yao (CHASATA).
Lakini mheshimiwa alienda mbali zaidi akisema anamshangaa msajili wa vyama vya siasa kwa kukiacha chama hicho kiendelee na kazi huku akijua ni chama kinachopanga mauaji ya watanzania na yeye akiwa na ushahidi wa mkanda video.
Wadau ikoje
Naangalia EATV, namuona Mh. Mwigulu Nchemba akiijadili CHADEMA na moja ya vitu anavyozungumza ni CHADEMA kuwa na makundi mawili huku kundi moja lenye nguvu linaongozwa na wanakaskazini ambao wanawatumia wanachama wao kama karai wakimaliza kazi Yao (CHASATA).
Lakini mheshimiwa alienda mbali zaidi akisema anamshangaa msajili wa vyama vya siasa kwa kukiacha chama hicho kiendelee na kazi huku akijua ni chama kinachopanga mauaji ya watanzania na yeye akiwa na ushahidi wa mkanda video.
Wadau ikoje
maajabu ya tanzania ni kuwa kila likija swala jipya utasikia "wananchi hawajaelimishwa" (Refer kwenye katiba, ving'amuzi, migodi, barabara, miradi ya maji nk) wakati tunaambiwa zaidi ya 90% yetu tumemeliza elimu ya msingi! Sasa tulijifunza/kuelimishwa nini huko????Viongozi wa namna hii ni wavivu wa kufikiri na wamekengeuka. Wakati ukifika watajifunza kuwa kuna mambo yasiyohitaji porojo