Nchemba ni kati ya watu waliopewa nafasi ndani ya chama cha mabubaliano ya kutaka kukichafua CHADEMA kwa mbinu ambayo inaonekana kuwa dhaifu maana waliomtuma pia dhaifu. Hivyo anahaha kujinasua asije akatemwa kabla ya wakati. Atazunguka channels zote nchini kutangazia umma kuwa CHADEMA wanapanga mauaji bila mafanikio, mwisho wake waliomtuma watamtema kama walivyomtema mkongwe WM-Wilson Mkama!! Jeshi la polisi lenye watu wa profession za upelelezi wameshindwa kubaini kuwa CHADEMA wanapanga mauaji, leo yeye hata sifa za kuwa polisi jamii hana, anakuja na polojo za kitumwa, try other options, hiyo ime-fail!!
Naangalia EATV, namuona Mh. Mwigulu Nchemba akiijadili CHADEMA na moja ya vitu anavyozungumza ni CHADEMA kuwa na makundi mawili huku kundi moja lenye nguvu linaongozwa na wanakaskazini ambao wanawatumia wanachama wao kama karai wakimaliza kazi Yao (CHASATA).
Lakini mheshimiwa alienda mbali zaidi akisema anamshangaa msajili wa vyama vya siasa kwa kukiacha chama hicho kiendelee na kazi huku akijua ni chama kinachopanga mauaji ya watanzania na yeye akiwa na ushahidi wa mkanda video.
Wadau ikoje
naangalia eatv, namuona mh. Mwigulu nchemba akiijadili chadema na moja ya vitu anavyozungumza ni chadema kuwa na makundi mawili huku kundi moja lenye nguvu linaongozwa na wanakaskazini ambao wanawatumia wanachama wao kama karai wakimaliza kazi yao (chasata).
Lakini mheshimiwa alienda mbali zaidi akisema anamshangaa msajili wa vyama vya siasa kwa kukiacha chama hicho kiendelee na kazi huku akijua ni chama kinachopanga mauaji ya watanzania na yeye akiwa na ushahidi wa mkanda video.
Wadau ikoje