Mwigulu Nchemba(Naibu katibu mkuu CCM-TZ bara) na Samson Mwigamba(Mwenyekiti wa CHADEMA-Arusha) wote wawili kwa nyakati tofauti yameonja 'joto hasira' kutoka kwenye vyama vyao kufuatia vitendo vyao walivyovifanya siku za karibuni.
CCM kupitia kwa msemaji wake Nape Nnauye kilitoa taarifa kuzikana kabisa ziara za Mwigulu Nchemba nje ya nchi na kusema hizo zilikuwa ni ziara zake binafsi na CCM isihusishwe kabisa!
Kwa upande mwingine CHADEMA wamemsimamisha uenyekiti wao wa Mkoa wa Arusha Samson Mwigamba kwa tuhuma za 'kukichafua' chama chao kupitia mitandao, hii inafuatia topic yenye shutuma dhidi ya viongozi wa juu wa chama chake aliyodaiwa kuandika na yeye kwa kutumia jina bandia na kisha kuirusha JF kwa kutumia Laptop yake tena akiwa ndani ya mkutano muhimu wa Chama chake.
Maswali muhimu ya kujiuliza ni:
1/Nani aliwatuma kufanya hayo?
2/Nini malengo yao katika kufanya hayo?