Mwigulu, Mnyika, Zitto, Mdee na Silinde waweza leta sura mpya sakata la Escrow leo Bungeni

Huyo Mwigulu sijui kama atakuja na mpya, yale yale ya Lusinde jana yatajirudia.
 
CHENGE TIBAIJUKA NGELEJA YONA watoe ufafanuzi ilikuwa mpaka wapate mgao wa fedha za escrow wakati wao uundwaji wa IPTL na VIP na Mechmar hawahusiki huu ni ufisadi mkubwa tuwawajibishe mbele ya sheria tukishindwa mgomo nchi nzima tuiwajibishe serikali imezidi ufisadi.
 
Nashani hawa wanaweza kuleta jambo la maana. Ila Kigwangala ni vigumu kuaminika!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hili jambo limetupa kuwaelewa wawakilishi wetu vizuri.
Kama kiongozi unaongea lugha chafu,isiyostahili kutamkwa na kiongozi tena mbele ya bunge ukitetea wezi ni aibu na fedhea kubwa kwa bunge na hasa CCM.
Ni wakati muhimu kwetu wananchi kuangalia wanaotuwakilisha wanazo standards tunazozitaka?
Acha tuwasikie wachangiaji wa leo.
 
Mbona naona hiyo list tajwa hapo juu inatofautiana na ile aliyoitaja zungu alipokua anasitisha bunge jana? Ufafanuzi tafadhari!
 
Kiwango kipi mkuu...?
Kutojua Ethics za Utawala ni kiwango cha juu?

Kutojua jinsi ya kuongea ukiwa na watu wa Imani tofauti ni kiwango cha juu?

Kwangu nilishindwa kabisa kumtofautisha na Akina mama waliokua wanagombana na mamaangu a way back, hasa ile mipasho na maneno mengi ya kanga...and he still entitled to be called " Mheshimiwa"!!!
Never!

Kwa mfano alitoa msingi wa muhimu sana ambao kimsingi PAC waliuvunja na njia chanzo cha wafaidika wa hizo hela kupata nguvu ya kujitetea.

"KUSEMA KWELI ILI KUTENDA HAKI"

Report ya PAC imetengenezwa kwa misingi ya uongo na uzushi wa hali ya juu sana, hasa katika maeneo ya msingi sana ya hili sakata.
 
Huyo Mwigulu sijui kama atakuja na mpya, yale yale ya Lusinde jana yatajirudia.

Mwigulu kama waziri kijana ambaye kwa siku za hivi amejijengea heshima na imani kwa watanzania, anapaswa awe makini na uchangiaji wake ili asije shusha heshima na imani hii aliyoanza kuijenga, nashauri ni bora ajiondoe kuchangia kama anahisi mchango wake hautakuwa na maslahi mapana kwa wananchi
 
Kwani Assumpta na zainab vullu au zullu wamejitoa? Kwani ninavyojua wao ndio wataanza ndio maana nikakiwekea mda wa kuanza kuangalia bunge saa 3:30.mtoa hoja please confirm
 
Kwa mfano alitoa msingi wa muhimu sana ambao kimsingi PAC waliuvunja na njia chanzo cha wafaidika wa hizo hela kupata nguvu ya kujitetea.

"KUSEMA KWELI ILI KUTENDA HAKI"

Report ya PAC imetengenezwa kwa misingi ya uongo na uzushi wa hali ya juu sana, hasa katika maeneo ya msingi sana ya hili sakata.


Mkuu nilikuaga naheshimy Sana mawazo yako but sikuwahi jua Kama uko too cheap namna hiyo.
 
Jaman mi cna iman na mwigulu hawo walikaa chama kizima wakatoa maamuzi watetee wezi sisi wananchi inatakiwa tuDELETE CCM hamna kazi ya maana wanayoifanya serikalin tofauti na wizi unaoendelea.
 
Arafu sidhani kama kiti kinaweza kukubaliana na kikosi cha mauaji kizungumze Kwa mpangilio wa mwaupeta I can bet haitakuwa hivyo hata kama hawana wajenga hoja wapo tayari kuchomeka watoa mipasho watu wenye I.Q ndogo kama komba,lusinde,manyanya...kusudi mda uende
 
Hii skendo jamani ki hoja na facts kwa kweli imewakalia ovyo ma CCM, lakini CCM wanachojivunia ni uingi wao pale bungeni..watoa hoja wa ccm ilikuwa ni mipasho bila supporting evidences, lugha za mitaani na lugha za khanga mtupu..Naunga hoja ya mchangiaji mmoja ktk uzi mmoja kuwa upinzani wanapotoa hoja nzito na facts, Komba,Lusinde,Maji marefu na wengine hawakufahamu kutokana na uelewa wao mdogo..Naunga mkono..Lusinde alipokuwa anatoa viroja jana, Maccm wote walikuwa wameamka ndio kusema wanaelewa na wanafurahia matusi na lugha za mitaani…

kwa upande mwingine hii kitu itawakalia vibaya zaidi ma CCM kama serikali ya ccm itajiudhuru..wanaogopa kuwa watawapa upinzani cha kuwaeleza wananchi kuwa wezi wa mali ya Umma ni ccm na hapo ndipo watakosa kura zaidi…Tukumbuke kuwa wabunge wengi wa CCM hawatachaguliwa tena kama vipindi vilivyopita..
Hapa wanajalibu kushika kila tawi na majani lakini wanaanguka tu
Kama Mtanzania,Kilichotokea jana kimeniaibisha sana kwa kuwa na wawakilishi kama hawa wa CCM.

NASHAURI NJIA MOJAWAPO YA KUWATOA HAWA MAGAMBA NI KUSHAWISHI FAMILIA YAKO, MAJIRANI,MARAFIKI NA MTU YEYOTE AENDE KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA..HIYO NDIO KARATA YETU SISI TUSIO BUNGENI DODOMA

Inahuzunisha sana,nilijihurumia sana,haswa si mimi wala wewe bali watoto wetu wadogo ambao kwa namna moja tunajaribu kuwaandalia kesho yao,nilimuona Chenge na Werema wanatingisha vichwa kwa maringo na ujivuni mkubwa,masikini sisi labda hatuna cha kuwafanya,kuna mbunge mmoja lusinde,pia yule mwana mama,sielewi kama tatizo ni shule au ndio u ccm,hata kama pesa zote ni za iptl,je kodi yetu iko wapi?mbona walisomeshwa kwa hela za watanzania maskini na leo hawana uchungu na nchi hii?Yana mwisho haya-Majaliwa-Kuli.
 
Maadili ya uongozi yanasemaje kuhusu viongozi kuchukua zawadi zawadi kutoka kwa wafanya biashara.
 
Ushauri wangu kwa Wabunge wote wanaojielewa. Kuna wabunge wamepewa kitu ili kuokoa jahazi please please nanyi mnapoingilia kwa jazba kuwazomea mnawapa mahali pa kupumua. Mbinu nzuri ni kumwacha mtu aongee nanyi kimya kabisa huku mkimtolea macho mtaona matokeo yake. Ni full aibu na atashindwa kupanga alichonacho kichwani.
Hebu mnyamaze ili sisi tuwasikie, hata wakiwatukana nyamazeni msimpe nafasi Spika kuwaonya pse pse na mtaona matokeo yake.
NOTE; MBUNGE YEYOTE ANAYEJIELEWA ASOMAYE HAPA AWAARIFU WENGINE.
 
Back
Top Bottom