Sijajua kama una beep au unajaribu ku beep. Nazisikia kauli zako za siku mbili tatu hizi, sasa huenda unajitoa lawama au unamaanisha unachokisema. Kama unajitoa lawama hakuna shida, lakini kama una maanisha basi kuwa na uhakika na unachofanya na ufahamu kwamba kilichompata 'mamba' na 'boko' kitamkuta.
Unaelewa kabisa ukweli wa mambo kwa hiyo ungekaa kimya tu,sasa kuongea hilo jambo na kulirudia tena na tena unachazea sharubu za Simba?
Unaelewa kabisa ukweli wa mambo kwa hiyo ungekaa kimya tu,sasa kuongea hilo jambo na kulirudia tena na tena unachazea sharubu za Simba?