Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,054
Kivipi aaah au ni Yale maswali ya kisensa sensa ee?“Kodi ya pango itakusanywa na TRA” Mwigulu"
Waziri wa fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba amesimama Bungeni leo September 20, 2022 na kutoa kauli ya Serikali kuhusu tozo ambapo ameeleza marekebisho yatakayofanyika a kuanza kutumika kuanzia
October 1, 2022
Waziri Mwigulu amesema “Serikali inafuta utaratibu wa kodi ya zuio inavotokana na pango kukusanywa na
Mpangaji na badala yake jukumu hilo linarejeshwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa utaratibu utakao bainishwa kwenye kanuni”
“Napenda kusisitiza kuwa kodi ya zuio ya pango sio ya Mpangaji bali inapaswa kulipwa na Mpangishaji ambaye ndiye anapokea mapato kutokana na uwekezaji au biashara ya kupangisha”
“Utaratibu huo umekuwa ukitumika kwa muda mrefu kwenye nyumba za biashara na nyumba zinazopangishwa kwenye makampuni au mashirika yanayofunga ritani za kodi
Kumbe ilikua inakusanywa na nani?“Kodi ya pango itakusanywa na TRA” Mwigulu"

Mbona tunalipa toka siku nyingi tu!Napendekeza waunde bodi au agency wakukusanya hizo Kodi za kupangisha yaani Kaz za hao itakuwa Ni kukusany Kodi hyo tu italeta tija na pesa kweli itapatikana Ni vzr hwa wenye nyumba walipe mtu unamlipa milion 3 kwa mwak hata laki Kutoa serekalini anashindwaa hapn hi ikuzanywe
Ndugu zangu wananyumba za kuoanga Ila siwaoneo wivu hata kidg walipe aise
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Comment hii isomwe na Mwigulu NchembaYou cannot make a country richer by taxing it's citizens.
Nashanga wenye PhD za mchongo za uchumi hii kanuni hawaielewi.