Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,354
- 18,625
Lakini nasikia mnamtamani sana Fei Toto wanalunyasiBaba wa hamia burundi ana mambo huyu....
Yeye Feisal ndio anaitamani Lunyasi, ndio maana akalazimisha kutoka utopolo walau apitie ChamaziLakini nasikia mnamtamani sana Fei Toto wanalunyasi
okYeye Feisal ndio anaitamani Lunyasi, ndio maana akalazimisha kutoka utopolo walau apitie Chamazi
Kijana yupo vizuri Ila I wish aende acheze nje
anaweza ila kwa lengo la kuboresha kiwango chake na kulisaidia taifa ni vizuri akauzwa nje ya TanzaniaFei siyo wa kuchezea leage ya bongo
Fei ana skills ila hana nguvu hana Kasi na ivyo ni vitu vya msingi Sana Kwa mpira wa level za juu.Fei siyo wa kuchezea leage ya bongo
Basi mchukue KIBU DENGA mpeleke wewe UlayaFei ana skills ila hana nguvu hana Kasi na ivyo ni vitu vya msingi Sana Kwa mpira wa level za juu.
Ili awe na thamani anahitaji kua na vitu hivyo si Fei pekeyake karibia asilimia 90 ya wachezaji wetu wanakosa Nguvu na Kasi.
Alafu na kamsemo kake kakike eti bhuana badala ya bhana 🤣🤣🤣Baba wa hamia burundi ana mambo huyu....
Yeah kabisaKijana yupo vizuri Ila I wish aende acheze nje
Wachezaji Jamii ya Kibu wapo wengi ulaya, makocha wakisasa Wanahitaji uharaka na Nguvu na kufuata maelekezo na ndicho wanacho tuzidi watu wa Afrika magharibi kwa miaka mingi.Basi mchukue KIBU DENGA mpeleke wewe Ulaya
Hahahaha😃😃😃Alafu na kamsemo kake kakike eti bhuana badala ya bhana 🤣🤣🤣
Ndio ila sio kiviiiiiiiiileeeeLakini nasikia mnamtamani sana Fei Toto wanalunyasi
Anatakiwa ale chakula kigumu...na afanye mazoezi kama wenzie kina Pacome na tshabalala kwa trainer kama Denzel...Fei ana skills ila hana nguvu hana Kasi na ivyo ni vitu vya msingi Sana Kwa mpira wa level za juu.
Ili awe na thamani anahitaji kua na vitu hivyo si Fei pekeyake karibia asilimia 90 ya wachezaji wetu wanakosa Nguvu na Kasi.
Kuna mchezaji kama Adama Traoré na wengine hawatofautiani na Kibu DWachezaji Jamii ya Kibu wapo wengi ulaya, makocha wakisasa Wanahitaji uharaka na Nguvu na kufuata maelekezo na ndicho wanacho tuzidi watu wa Afrika magharibi kwa miaka mingi.