tol
JF-Expert Member
- Apr 18, 2014
- 256
- 170
tunamtaka mwigulu aeleze mwananchi ilan ya ccm na sio kuzungumzia pesa anazotumia Lowasa kwa kampeni
mwigulu pia atueleze pesa zinazotumiwa na ccm kwenye kampeni zimetoka wapi. llowasa ameshasema pesa anazotumia zimetoka kwa mwananchi ambao wanamsaport ambao ni friend of Lowasa
tunashawishika kuamini kuwa pesa zinazotumiwa na ccm kwenye kampeni ni pesa za kifisadi kama escrow, bomba la gas na ufisadi mwingine