Mwigulu ametoa ajira?

Mwigulu ametoa ajira?

moe junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
910
Reaction score
946
Ukipita barabara kuu ya Dar mpaka Mbeya na ile ya Dar mpaka Mtwara kuna mtu ameandika "Mwigulu rais 2015" mwandiko ni ule ule na anatumia rangi nyeusi ya kuspray. Huyu mtu katumwa na Mwigulu au kajiajiri mwenyewe?
 
Huyo atakuwa katumwa ndugu maaana sio huko tu na kwingine kaandika huyo jamaaa
 
Wiki Jana nilikuwa Laela Sumbawanga mawe pale jirani na Mtapenda yamegongwa chata ya Mwigulu Rais 2015 pia Mlima Kitonga Ile miamba ina chata zake za kutosha tu!
 
Chata ipo Kigoma, Laela Sumbawanga, Singida rroundabout ya Manyoni, Musoma roundabout ya kuelekea Sirari, Dodoma, Mbeya, Mlima Kintonga halooo jamaa ni nouma vibaya
 
Ukipita barabara kuu ya Dar mpaka Mbeya na ile ya Dar mpaka Mtwara kuna mtu ameandika "Mwigulu rais 2015" mwandiko ni ule ule na anatumia rangi nyeusi ya kuspray. Huyu mtu katumwa na Mwigulu au kajiajiri mwenyewe?

Hiyo ni kazi ya mwigulu kwa kutumia vijana wa lumumba kina chumia tumbo
 
Juzi nilikuwa naenda Arusha pale mto wami ni mwigulu hadi arusha hasa kwenye kuta za ma culverts
 
Wiki Jana nilikuwa Laela Sumbawanga mawe pale jirani na Mtapenda yamegongwa chata ya Mwigulu Rais 2015 pia Mlima Kitonga Ile miamba ina chata zake za kutosha tu!

Naona jamaa alitenga fungu la kutosha
 
Anayeandika ni punguani Mtela Mwampamba kwa maelekezo ya shoga yake Mwigulu Nchemba
 
Back
Top Bottom