Ndio kwanza kumepambazuka.. Kama ni balehe ya kigoli ndio kwanza hata kuchezwa bado na kifua bado kigumu vile vijipuMwigulu Lameck Nchemba Madelu alijitokeza kwenye kinyang'anyiro cha 2015.
View attachment 2343267
Kwa kweli siyo siri kuwa huyu ndugu alikuwa na kiu kubwa ya kuitumia haki yake hiyo ya kikatiba. Basi tu wajumbe hawakuzithamini potentials zake nyingi anazozijua mwenyewe.
"Pana maswali ya kujiuliza kwa yeyote anayeikodolea macho fursa ya 2025."
Je, kiu ya ndugu Madelu kama ilikwisha, ilimalizwa na nini?
Je ni uchochoro upi wa kupitia angali nao Madelu kuweza kuipata nafasi hiyo adhimu japo hata kwa kuwa candidate tu?
Vipi hii Singida United imechipuka chipuka kama uyoga tu?
Vipi haya mabango kuendelea kuwepo wakati wagombea wengine walisha vunja makundi?
Penye Tozo pana njia.
Masahihisho kidogo. Kwa sasa ni Singida Big Stars inasajili hadi Waargentina ndugu zake Messi.Singida United
Masahihisho kidogo. Kwa sasa ni Singida Big Stars inasajili hadi Waargentina ndugu zake Messi.
Vp kuhusu Ester Luxury Coach?
Tukosowane kwa staha ndugu.Acha ujinga wewe jamaa! Hatujawahi kuwa na zamu eti this time muisiramu au this time ni mkristo! Au this time Tanzania bara au this time Tanzania visiwani! Jakaya alitoka bara,akaja Magu alitoka bara! Nilikua nakuheshimu sana humu jukwaani, kumbe na wewe ni hovyo kabisa
Hiyo voices from within yako ya mama kumkabidhi mgombea toka Zanzibar 2025 nakubaliana nawe 100%Kiukweli mimi ni mtu wa mizaha sana!. Hata hapa ile 2014, nilikuwa nafanya mzaha tuu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Hivyo mzaha wangu huu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke!
Uweke tuu kwenye kumbukumbu zako, 2025 ikifika nitakukumbusha.
P
Karibu mitaa hii "Ombeni Mtapewa", Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kauli Huumba? Angalia Kauli Hizi Ziliumba Nini!. Laiti Zingesikizwa...!.Naona, basi wewe ni Mwanamalundi wa zama zetu umekuja, katika umbo la Mwanamayalla.
Tufanye ni ilijitokea tuu bila kupangwa Nyerere akawa Mkristu akapokelewa na Mwinyi Muislamu, akapokelewa na Ben, Mkristu, akapokelewa na JK Muislamu, then JPM Mkristu na sasa Samia, Muislamu.Acha ujinga wewe jamaa! Hatujawahi kuwa na zamu eti this time muisiramu au this time ni mkristo!
Baada ya Ben, ilikuwa iwe ni zamu ya Zanzibar mgombea alikuwa awe Dr. Omar Ali Juma!. Naomba nisikuambie what happened... Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali na ki-Muungano, 2015 Si Zamu ya Zanzibar?Au this time Tanzania bara au this time Tanzania visiwani! Jakaya alitoka bara
Duh...!. Haya asante!.,Nilikua nakuheshimu sana humu jukwaani, kumbe na wewe ni hovyo kabisa
Aisee unanidhamu ya hali ya juu sana, hili ni Kokolo.Duh...!. Haya asante!.
D
Bado nakupinga tu! Nyerere kua Bara,then Mwinyi Zanzibar,akaja Ben, Jakaya, Magu na asa hivi Samia! Sio kwamba ni sheria! Ungesema kwamba Rasi akiwa Bara,Basi Makamu awe Zanzibar hapo ningesema sawa!Karibu mitaa hii "Ombeni Mtapewa", Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kauli Huumba? Angalia Kauli Hizi Ziliumba Nini!. Laiti Zingesikizwa...!.
P
Tufanye ni ilijitokea tuu bila kupangwa Nyerere akawa Mkristu akapokelewa na Mwinyi Muislamu, akapokelewa na Ben, Mkristu, akapokelewa na JK Muislamu, then JPM Mkristu na sasa Samia, Muislamu.
Ilijitokelezea tuu!. Kete ya Dhana ya 'Zamu za Kupokezana' ina turufu yoyote katika Mustakabali wa 'Urais' wa JMT?
Baada ya Ben, ilikuwa iwe ni zamu ya Zanzibar mgombea alikuwa awe Dr. Omar Ali Juma!. Naomba nisikuambie what happened... Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali na ki-Muungano, 2015 Si Zamu ya Zanzibar?
Duh...!. Haya asante!.
D
2030 Ni zamu ya mkristo mkatoliki si lazima awe mwanamke Ila lazima awe mkatoliki. Mwigulu sio mkatoliki sioni nafasi yake kwenye urais hatokuja kuwa rais wa kusadikika hata kwa ndoto. Ila uwaziri mkuu labdaJapo mimi namsuport Mwingulu kwenye urais kwa sababu hii Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! lakini 2025 ni awamu ya pili ya Samia ambayo ataitoa zawadi kwa Zanzibar for one term kumalizia term yake, hivyo 2030 ni zamu ya mgombea mwanamke Mkristu probably Dr. Tulia!. 2040 ni zamu ya Muislamu. Sasa Mwigulu atapitia wapi?.
P
In short Mwigulu will never be a President of this country. Case closed.Japo mimi namsuport Mwingulu kwenye urais kwa sababu hii Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! lakini 2025 ni awamu ya pili ya Samia ambayo ataitoa zawadi kwa Zanzibar for one term kumalizia term yake, hivyo 2030 ni zamu ya mgombea mwanamke Mkristu probably Dr. Tulia!. 2040 ni zamu ya Muislamu. Sasa Mwigulu atapitia wapi?.
P
Mtia nia wa Urais aliyetumia mawe kama mabangoVipi haya mabango kuendelea kuwepo wakati wagombea wengine walisha vunja makundi?
Penye Tozo pana njia.
Kuna vitu vingine afadhali usijue kuliko ukijua!. No news is good news!. Maadam hujui kilichotokea ni afadhali ukae hivyo hivyo usijue kuliko ukijua!.Kifo cha Dr Omary Juma,sijui nini kilitokea! Kama unajua tujuze,
Acheni kutupangia wa kutuongoza hii nchi sio mali yenu binafsi.hivyo 2030 ni zamu ya mgombea mwanamke Mkristu probably Dr. Tulia!. 2040 ni zamu ya Muislamu. Sasa Mwigulu atapitia wapi?.
Marais wa nchi hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile wewe sio Mungu, you can't be certain sure kuwa fulani hawezi kuwa rais!, unless mpangaji ni wewe!.In short Mwigulu will never be a President of this country. Case closed.
Hakuna mtu anayempangia mtu au kuwapangia watu mtu wa kuwaongoza. Mtu wa kuwaongoza hupangwa na Mungu.Acheni kutupangia wa kutuongoza hii nchi sio mali yenu binafsi.
Siyo Kweli anapangwa na TISS DUNIANI KOTEHakuna mtu anayempangia mtu au kuwapangia watu mtu wa kuwaongoza. Mtu wa kuwaongoza hupangwa na Mungu.
P
Alijua...! Duniani KOTE TISS ndiyo wapangaji WA Marais nchini mwaoMarais wa nchi hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile wewe sio Mungu, you can't be certain sure kuwa fulani hawezi kuwa rais!, unless mpangaji ni wewe!.
Kwani unadhani hata Samia alijua kuwa atakuwa rais?, hakujua!.
P