MWIGULU aipongeza CHADEMA!!

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwigulu Nchemba,ameipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuatia ushindi wake wa Kishindo ktk uchaguzi wa kata 4 jijini Arusha.

Pamoja na pongezi hizo Mwigulu ametoa angalizo kwa CHADEMA kua wasibweteke kwani kata hizo nne zilikua chini yao na kwamba walikua wakizitetea!
Source; Gazeti la Tanzania Daima.
 

CCM ni wakomavu wa kisiasa.
 
That is political maturity if at all not accompanied with ill will!!
 
Hatuhitaji pongezi zake,kama imefikia hatua ya kutumia mbinu ya kuua watu wasio na hatia kwa ajili ya kata tu,na kuhonga watu mamilioni ya shilingi,ni mtu ambaye anastahili kusomewa ile ambayo alisomewa mkulu ile ili alaaniwe duniani hadi mbinguni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pia aombe radhi kwa aliyoyafanya arusha... Chadema tuna Mungu...
 

Hawabweteki na Ndio Maana Njama za Ugaidi na Ulipuaji Mabomu kwenye Mikutano ya CDM Zinazotumiwa na CCM zimefeli.
 
siasa iliyokomaa uwa hivo si kukimbilia mahakaman tu.
hongera mwigulu.
pia ajue kwamba ata akizunguka na watu waliomwagiwa tindikali. we don't give a damn.
 
unafiki na mbinu za kisiasa baadae wawambie wananchi mnaona si tunakubali kushindwa.
 
Tunaomba azungumzie kupigwa kwa Dogo janja kule Munduli na Green Guard Gentlemen!
 
Alishinikizwa kutoa pongezi au alikurupushwa?
 

Wasibweteke kivipi? Kumbe hapendi liccm lizigomboe hizo kata!
 

Maneno ya mkosaji hayoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…