hivi wewe umefikiri kabla ya kuandika huu ujinga wako hapa? sasa watu wa vijijini hawapigi kura? CCM haipo kwa ajili ya watu wa mijini, mikoani, wilayani, katani wala kitongojini, CCM ipo kwa ajili ya wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kidumu chama cha mapinduzi kidumu daima.
kidumu cha chama cha mapinduzi kwa sasa kimetoboka sio kile cha kipindi cha mwalimu.
Kura yoyote katika uchaguzi lengo lake ni kuwapendelea walio wengi na kuwanyonya wachache jivyo mnapochagua mbunge akapita hata wale ambao hawajamchagua wanatakiwa wakubali matokeo na kumbali kama mbunge wao mpaka pale kipindi cha uchaguzi kitapokuja tena. Kwa mtindo huu kama picha inavyojieleza ni ngumu kwa mtu wa chama kingine kushiriki kwenye mkutano huo muhimu wa mbunge wao kwani hapo mbunge amekwenda kichama zaidi na si kama mbunge kutokana na mavazi aliyovaa na ndio maana amezunguukwa na wafuasi wa chama chake. Na hili ndio tatizo kubwa kwenye nchi yetu viongozi wanapofanya ziara wanajisahau pale wamekwenda kama wawakilishi wa nchi au kiserikali kutokana na shamrashamra za mapokezi wanazopata (mapokezi yanakuwa ya kichama zaidi). kimsingi identity za kichama haipendezi kuzionyesha pale kiongozi / mbunge anapotembelea wananchi kwa shughuli za maendeo maana kwa jinsi Mwigulu alivyovaa hiyo sare hapo tafsiri ni alikwenda kwa shughuli ya kichama though alikwenda kama mbunge.
hoja yako nyepesi sana mkuu, hao awajaenda hapo kuhamasisha wananchi washiriki katika kilimo au ufugaji, jua kwanza dhamira ya ziara ya Mhe. Mwigulu hapo Igunga kabla hujapost kwenye hii. lengo ni kwenda kueneza itikadi ya chama na kujenga imani kwa wananchi kukiamini chama cha mapinduzi, ulitaka wavae KANIKI ili ujue wapo kitaifa?
wape darasa vilaza wa kufikiri haohoja yako nyepesi sana mkuu, hao awajaenda hapo kuhamasisha wananchi washiriki katika kilimo au ufugaji, jua kwanza dhamira ya ziara ya Mhe. Mwigulu hapo Igunga kabla hujapost kwenye hii. lengo ni kwenda kueneza itikadi ya chama na kujenga imani kwa wananchi kukiamini chama cha mapinduzi, ulitaka wavae KANIKI ili ujue wapo kitaifa?
Huyo jamaa ndio kasababisha CCm kunyanganywa Jimbo la Igunga.. alikua meneja wa kampeni huyu,kampeni zilizojaa ubakaji, mauaji na mengine yasiyotamkika.. kwenye ubakaji alikua anaenda front kabisa na ile kesi sijui iliishia wapi!
Hali ngumu kule Singida, Kitilla Mkumbo kamshika pabaya kaamua kushushia stress Igunga,
Huyo Kitila Mkumbo bora atunze au alinde ajira yake tu chuo kikuu. Atapata aibu ya mwaka. Hakuna nayemjua kule. Kaifanyia nini Iramba? hebu mwulizeni hilo swali tu awape jibu. Ok, mhadhiri, kaifanyia nini Iramba so far?? Wanyiramba watampa anachostahili.
nyie ndo tunawaita wa dot com nyie. Wewe Iramba ya zamani ulikuwa unaijua wewe au unakurupuka tu?? Sitaki kukuelezea tofauti ila yaelekea hata Iramba huijui kwa hiyo huwezi kuyaona yaliyofanyika. Zilingwa mbali na zitendwa mbali....Kilo!!!Endelea kudanganyika,, watu sasa hivi wanaona kwa macho yote. Kwani CCM na Mwigulu wameifanyia nini Iramba?
weee mkareee.....umeshasoma alama za nyakatiMwigulu saizi yakre Slaa na mbowe kidogo napo bado Mwigulu atashinda Iramba hata uchaguz ukaitwa leoq