anatapatapa huyo,..alikuwa campaign manager na jimbo limemponyoka,kama wana uhakika na rufaa waliyokata kampeni za nini?wasubiri aibu kwenye uchaguzi,..this time hakuna kugawa mahindi wala ahadi za majuha kama magufuli za madaraja...
wewe gamba,hebu fuatilia garama zinazotumia watu kuja kwenye mikutani kama hiyo,mmelaaniwa mnatumia umaskini wa watu ili muendelee kuwaibia.hapo watu lazima wemekula ubwabwa na elfu mbili na taarabu ya mzee yusufu inawaburudisha,