Nilitazama Mkasi Mwanzo mwisho , haikuwa hivi kama mlivyopamba Jamani , Global hebu acheni kugombanisha watu bwana
Awa jamaa waongo sana... Nilitazama iyo show na jibu la Hemed halikuwa hilo,alisema anafaa. Shigongo utachomwa moto mbaya sana kwa kulisha wajinga uongo na kuchonganisha.
haya magazeti sijui yanapata faida gani watu waligombana
Alisema hemed,kajala wanafaa
Acheni kuchonganisha watu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Global wameishiwa habari sasa hivi..............
Binafsi naona Nora anatapa tapa ili apate keek ya kurudi kwenye game,Akubali kashapokeza kijiti zama zake zimepita na sio kuhangaika na kulazimisha kusikika masikioni mwa watu.
Mambo yake yanamwendea kombo kila anachofanya chenga,juzi juzi katoka kukimbiwa na mume,sura imechoka haiuziki kwenye tasnia hivyo bora atafte namna nyingine ya kutoka kimaisha na sio kuponda watu ambao wanamzidi kila kitu.
Awa jamaa waongo sana... Nilitazama iyo show na jibu la Hemed halikuwa hilo,alisema anafaa. Shigongo utachomwa moto mbaya sana kwa kulisha wajinga uongo na kuchonganisha.
Wanamzid kwa lip labdaa hebu fafanua??? Maon aliyotoa yanaingiliana vp na maisha yake binafsi???? Makubwa haya