Mti mmkavu
Member
- May 24, 2023
- 36
- 68
Tarehe ndio hizooo mambo bado uko wale wa kwa mangi tukalipe
Tarehe ndio hizooo mambo bado uko wale wa kwa mangi tukalipe





Mkuu ukilala unaota mshahara tu
nakuonaasMangi ananikaba koo mpaka na kanauli kenyewe kanayoyoma 🤣🤣🤣Mkuu ukilala unaota mshahara tu
nakuonaas
Halafu tar zikikaribia Msg za bank zinaingia unafungua haraka haraka kumbe wanakupa matangazo yao...Mangi ananikaba koo mpaka na kanauli kenyewe kanayoyoma![]()


siyo msg ya mshahara weeee usiombe



Bwanabwana hizi pressure nyingine ndio zinamaliza nguvu hata miguu inachoka mapema kupiga Tz 11 🤣🤣🤣 kwani mambo bado tuu.?Halafu tar zikikaribia Msg za bank zinaingia unafungua haraka haraka kumbe wanakupa matangazo yao...siyo msg ya mshahara weeee usiombe
![]()
Hili tabasamu sio bure, kwani tayari jamani, nianze kumvimbia mangi ?
🤣🤣👋Hili tabasamu sio bure, kwani tayari jamani, nianze kumvimbia mangi ?
Mkuu naona balance kwako iko sawa, huku hali tete 😭😭😭 bado uko wakulungwa ?😃😃😂😂😂
kua na subira mkuuMkuu naona balance kwako iko sawa, huku hali tete 😭😭😭 bado uko wakulungwa ?
Subira kanikimbia nyumbani nae anasema mangi kazidi kupiga piga hodi 😭😭😭kua na subira mkuu
🙄🙄🙄 Mangi leo hanisamehe tuu 🙉🙉🙉Leo ni bila bila labda kesho mambo yanaweza kuwa sawa
Mkuu Tanzania yetu hii kubwa sana, huko tayari kweli au huku umechelewa kufika 🤔🤔🤔Mbona tayari😃😃
Afya tayariMkuu Tanzania yetu hii kubwa sana, huko tayari kweli au huku umechelewa kufika 🤔🤔🤔
Ugumu hauna kada mkuu 🤔🤔🤔Walimu bwana