live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 790
- 1,265
Sasa ni miezi 8 imepita tokea nilipoenda pale ofisi za PPF na kuwambia nataka pesa zangu nikambiwa ni jaze formu nikajaza nikaenda zangu hadi leo napigwa kalenda tu
sasa sijui kuna mameneja hawafanyi kazi zao kama inavyo takiwa yani wanakaa tu na mafail ya yetu ya malipo bila ya sababu za msingi
Au sijui ni kwa sababu sijatoa rushuwa kumpa meneja Fulani ili aniharakishie malipo yangu
Au pia inawezekana hawana pesa pesa zote wamemkopesha mkulu atengeneze miundo mbinu
Yani kwa kweli kila nikijiuliza nakosa jibu na sasa nimegundua majibu wanayo nipa ninapo enda ofisini kwao huwa wananidanganya