Mwezi wa 8 sasa PPF hawajanilipa pesa zangu nipo katika wote scheme

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
480
1,000
Sasa ni miezi 8 imepita tokea nilipoenda pale ofisi za PPF na kuwambia nataka pesa zangu nikambiwa ni jaze formu nikajaza nikaenda zangu hadi leo napigwa kalenda tu

sasa sijui kuna mameneja hawafanyi kazi zao kama inavyo takiwa yani wanakaa tu na mafail ya yetu ya malipo bila ya sababu za msingi

Au sijui ni kwa sababu sijatoa rushuwa kumpa meneja Fulani ili aniharakishie malipo yangu

Au pia inawezekana hawana pesa pesa zote wamemkopesha mkulu atengeneze miundo mbinu

Yani kwa kweli kila nikijiuliza nakosa jibu na sasa nimegundua majibu wanayo nipa ninapo enda ofisini kwao huwa wananidanganya
 

kikuna

JF-Expert Member
May 26, 2015
2,212
2,000
Tafuta kazi nyingine ufanye mzee hakuna pesa
Mifuko ya hifadth ya jamii
 

Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
1,529
2,000
Kumbe tupo wengi itakuwa hawana pesa, pesa zetu zote wamemkopesha mkulu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom