Mwezi mzima bila tendo, ndani ya ndoa!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwezi mzima bila tendo, ndani ya ndoa!!?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Uncle Jei Jei, Apr 15, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,201
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi nimekuwa nikisikia na kusoma kwenye majarida mbalimbali ya mahusiano,kuwa wanandoa wanaweza kukaa mwezi mzima bila kupeana haki yao ya ndoa! Mara nyingi chazo kinasemekana ni mwanamke kumnyima mumewe! Kina mama, huwa tatizo ni nini?? Ni kweli mwezi mzima mlale kitanda kimoja,usipate hamu!! Nimetaja wanawake hapo juu, kwani wanaolalamika kunyimwa wengi wao ni wanaume! Tuelezeni tatizo ni nini??
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  na kama mwanamme ndo amenyima tueleze pia?
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mhhh, hapa na mimi ningependa kujua sababu zake hasa nini! Ila nahisi labda mifarakano/ugomvi ndani ya nyumba, ubize kupita kiasi, kazi ngumu, kupata nyumba ndogo (kwa wote baba na mama), kauli mbovu na maradhi yanaweza kuwa ni sehemu ya sababu za tatizo hili ....
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Naunga hoja mkono, tuelezeni hasa tatizo nini ?
   
 5. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,201
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  labda magonjwa ntakubali! Ila uchovu na kazi nyingi for a whole month!! Si ndo mwanzo wa kuvunja ndoa??
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Jaman hii mambo mtu ukinyimwa ht mambo mengine hayaendi uzuri aise
   
 7. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  hapa mwanamke akibana atasema nimemnyima unyumba mme wangu au bwana angu je kama mwanaume anabana kwa mkewe unyumba naye atasema anamnyima mkewe unyumba au kuna jina lake maalumu?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ukiona manyoya??
   
 9. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Je kama ni manyoya ya kunguru!!??
   
 10. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nimesoma toka kwenye blog inaitwa Wanawakenisisi mama aliyekaa kwenye ndoa yake zaidi ya miaka 20 akizungumzia siri ya mafanikio yao, moja ikiwa kupeana break kwenye suala la sex. Nadhani ina make sense; kila siku kila siku si mtachokana jamani. Someni wenyewe msiseme NK nimetunga:

  [h=2]Sunday, April 15, 2012[/h][h=3]From One Woman - To Another....[/h]

  [​IMG]  "Mimi ni mwanamke niliyeolewa, nina watoto wawili na na nipo ndani ya ndoa miaka 20 sasa hivi. Hua inaniuma sana sana kuona jinsi ndoa za siku hizi hazidumu. Yaani watu munatuchangisha, baada ya miezi miwili ndoa ishasambaratika! Je, kosa ni la nani? Mimi kama mimi ningependa kuelezea machache lakini muhimu yaliyoniwezesha kufika hapa..
  La kwanza na la muhimu - Sigusi kamwe kamwe simu ya mume wangu! Staki presha.. Yaani hata kama kalewa kalala na simu yake inaita au imeingia sms naigeuza naiweka chini ya mto wake, nalala zangu.
  Pili, sometimes kama mwanamke inabidi ua manipulative kidogo. Hua namruhusu mume wangu kwenda out na washkaji zake at least mara moja kila wiki. Ila nikiona inakua too much na anarudi late sana, hua namuagiza vitu tofauti aniletee. Mfano - mishkaki ya nundu (hii lazma iliwe ikiwa ya moto), ice cream na vitu ambavyo akishanunua lazima aviwahishe nyumbani visije haribika.. Akishafika nyumbani hatoweza tena kutoka.
  Tatu - At least mara moja kwa mwezi tunakwenda oout for a date, mie na mume wangu tu. Tunakwenda for dinner tukimaliza tunakwenda dancing kidogo kwenye live band. Inakua nakumbukia wakatui uuulleee alipokua ananitongoza. It's a great feeling.
  Nne - Sio kua napata kipato kikubwa sanaaa but mie na my mume tulifungua account ya malengo. Hii tunakua tunaingiza hela tu, hatutoi kamwe. Hela hizi hutuwezesha sisi kwenda vacation na family yetu mara moja kila mwaka. Hua tunachagua sehemu ya kwenda kulingana na amount ya hela iliyopo kwenye account hiyo kwa wakati huo.
  Tano - Kuna wakati tuna abstain kufamya tendo la ndoa kwa muda. Inaweza ikawa mwezi mmoja hadi mitatu. Hii inasaidia kuongea ladha ya mapenzi wakati tunaporudi katika maisha ya kawaida.
  Sita - Hua namnunulia vijizawadi vidogo vidogo. Naweza nikamnunulia cuff links, socks, viatu, tai, after shave, vest, mara simu, au laptop.. This way anajua kua namuwaza kila wakati.
  Saba - Family time - hii hua tunafanya kila jumapili. Tunaweza kuamua tukampa dada off siku hiyo. Sisi kama family tutafagia, kufua, kupika - kisha tutakaa pamoja na kula na baada ya hapo tukakaa nje kwenye garden na kupiga story with drinks. Mara nyingine tunakwenda Bagamoyo au Kigamboni na kufurahi tu na family. Kuna namna nyingi to spend time na family. Hua nazibadilisha badilisha ili wasiboreke.
  Anyway haya ni machache tu...
  Nakutakia siku njema.."
  Mrs K
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Wengi watasema msipofanya often mmoja au wote mtakuwa mnatoka nje lakini mimi nimegundua mkiwa ni watu wa mazoezi, nikiwa na maana ya mazoezi kweli kweli yale ya mpaka mtu una sweat; mkienda bed mnakuwa mmechoka mbaya hamna hata anayekuwa na ubavu wa kuwaza hiyo kitu. Hivyo wanandoa fanyeni mazoezi kwa pamoja (na si mmoja maana mwenzie atakuwa na hamu kama yeye ni lazy). Sisi ukiona siku atujafanya mazoezi jua kuna mechi. Ni mazoezi kila siku.
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mazoezi gani ya kuchoshwa mwanamume hadi asitamani kufanya ngono?

  Labda kama hayo mazoezi yanaadhiri pyschology ya huyo mwanamume!

  Muda wanaokaa wanandoa unategemea mambo mengi sana ila mwezi mzima ni muda mrefu sana!

  Babu DC!!
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mwezi mzima ni too much. Ila wengi wanaosema mwezi mzima wanataka kuonyesha msisitizo tu sidhani kama ni kweli mwezi mzima. Ila kuna tofauti ya kufanya daily na kufanya mara moja moja; sijuhi kwa wanaume, sisi wanawake tunakinai maana si kuchoka. Lol. Si unajua si tunapenda mtu wakati nyie mnapenda sex.

  Tena research yangu ya kusikia stories nimegundua wanawake wengi masikini ya Mungu wamegeuzwa watumwa wa sex na waume zao. Wana complain maofisini eti wanasema walifunzwa kutomtolea nje mume anapotaka regardless wao wako kwenye mood gani.

  Kwangu mimi ni different; I do sex because I feel like doing it and I enjoy doing it. Na mume wangu anajua, hajawahi kunibaka.

   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah inawezekana aiseee lol
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Mazoezi ya kawaida, mchanganyiko. Labda kuna wenye uwezo wa kufanya mazoezi na baada ya hayo mazoezi wakaenda kwenye mechi. Sisi wote tunachoka vibaya sana maana ni mazoezi tunayofanya jioni baada ya kazi.

   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Kwa vile mumeo hajakubaka siyo kwamba haumii...Nyie akina mama mkipata dozi moja nzuri mnakuwa kama chatu...mlo mmoja mnataka uwatoshe kwa wiki nzima au zaidi.

  Ndiyo maana katika uzee huu nimekuja kuishawishi akili yangu iliyochoka kuwa mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja!!

  Given a good time na msosi wa nguvu, mwanamume anaweza kupiga daily kwa mwezi mzima!!

  Babu DC!!
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  NK,

  Kuna mazoezi yanaweza kuzidi shughuli ya kumimina zege? Sasa wenzio wanamaliza hiyo kazi na kupiga mechi tena kama vile wanacheza beach football!!

  Babu DC!!
   
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Hata kama sex drive yake itamfanya awe na nyumba ndogo bado DC siwezi kuwa mtumwa wa sex. Sina wivu wa hivyo. Na wanaolalamika kubakwa na waume zao waume hao hao wana vimada kila kona. Ni rafiki zangu sijatunga. Kwa hiyo mimi nina amani; na tunafanya kwa kiasi.

   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nimecheka mpaka nimepaliwa. Unajua mazoezi wewe; kama ya kijeshi. Basi ndo tunayofanya home.

   
 20. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kuna mentality kwamba NDOA = NGONO. Hapana. Kuna mambo mengi sana ya kufanya ndani ya ndoa. Suspension za ngono hapa na pale si ajabu. Vinginevyo maisha yangekuwa magumu zaidi.
   
Loading...