Mwezi mwandamo Afrika Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwezi mwandamo Afrika Mashariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau wetu, Aug 1, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF, Baadhi ya nchi zimetangaza kuwa leo Jumatatu ni tarehe Mosi ramadhani. Je Afrika Mashariki nakusudia Tanzania, Kenya Uganda na Zanzibar kuna mwenye taarifa za kutangazwa mwezi kuandamana jana? Nakusudia taarifa rasmi kama ya Mufti
   
 2. L

  Likele3 Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 5
  Hapa Tanzania habari zilitangazwa nchi nzima maana watu wengi Unguja Tanga waliuona mwezi
   
 3. U

  Userne JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkiwa mwezini mtaona mwezi gani ati?
   
Loading...