Hivi mtangazaji gani hasa ndo ana act kama mwewe kwenye habari za cloud tv?
najua wapo tofauti tofauti but kuna mmoja ndo anakuwa often na ndo anaipatia sana hii segment ya mwewe
wengine huwa hawaipatii sana......
Huu ubunifu wa mwewe nimeupenda sana