Marekani wakina Prof Mazrui,Prof Ngungi wa Thiongo,na the late Chinua Achebe walikuwa bado wanafundisha,Ngungi ni 75 yrs old,Ali Mazrui i think over 80 !Prof Mweregu sijui ana umri gani kuambiwa hawezi kuendelea kuwa UDSM.Good SAUT walimpa anachostahili.
Kuna clip ya Mulugo huko South Africa,hata Kiingereza kinachosha.Najiuliza hakuna wanaostahili zaidi ya huyu bwana hapo wizarani?