MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 136
Hapo hakuna hata mmoja anaefanana na huyu wanguKuna demu kanitukana leo Eti nawachukia wanaume wote Mbwa nikamtumia hiyo picha nikamwambia nionyeshe Baba yako hapo AkaniblockView attachment 840746
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiporo bado kpo mkuu?umekula mkuu
bado kipo apa nataka kukimalizia ndo nmekukaribisha kabisa mkuu kizuri kula na nduguyoKiporo bado kpo mkuu?
Asante mkuubado kipo apa nataka kukimalizia ndo nmekukaribisha kabisa mkuu kizuri kula na nduguyo
Angalia kwenye ovatar nimemweka