IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,458
- 7,370
actually hii yako yawezekana ni side efects za kukosa
'mapenzi ya mama utotoni'....
ni true huwatokea wengi...
Yap- na hasa wale wanao penda kulelewa,......
actually hii yako yawezekana ni side efects za kukosa
'mapenzi ya mama utotoni'....
ni true huwatokea wengi...
Mwenzenu sijui nini mimi nikiona Wamama hakili inahama!mimi watoto chini ya miaka20 sina hobi nao, mimi mijimama wawe umri wa 40 na amezaa kama mara 3 basi kwangu brudani.
Unanitusi sema namimi humu sijamtukana mtu nimeelezea hisia zangu kwa wanawake wanene na agemate zangu au wewe mwembamba unaona wivu?au unamwonea wivu mamako kwakuwa nijimama?usiwena wasi huko sitafika!!Vipi je ukimuona mama ako? au mama ako bado hajazaa?
you think so? Ulosema yalianza kusemwa toka 2006 na mpaka leo jf ipo inadunda!Msemaji (muasisi uzi) akiwa na matatizo ya fuse kichwani, basi wasikilizaji (wachangiaji) mwatakiwa fuse zenu ziwe nzima!. Wachangiaji wakiwa na tatizo la fuse basi mleta uzi fuse iwe nzima. Unlucky ikatokea Msemaji na wachangiaji wote fuse arijojo, kwshynehi, Jf will be Matope soon.
KK mimi wala sina tatizo na utashi wa roho yako,tatizo langu ni wanaolala na vi underage, lakini so long as unaowapenda ni of mature age then its your business ndugu yangu.Nashukuru kwa kejeri zenu mnamaanisha maumbo makubwa hayastahili kupendwa??kifupi mimi nipo busy sina mda wakupotezea stears kunywa juice mimi natafuta wa byere!na mimi siyo wakulelewa!watu wazima hawana usumbufu!!nyote wenye kebehi hamuwezi kunibadlisha mazoea yangu!!
Bora uwambie wewe maana Nashindwa kuelewa binadamu kwakumpaka punda ile awe punda milia!!Mimi ndo nawapenda wewe unasema ninamatatizo mimi na wewe ninani mwenye matatizo??usijali bro. mm wala siku laumu,, fata nafsi yako ,moyo wako , '' huwezi kumforce punda kunywa maji kama hataki,, kila mtu anahisia, mm nakuona hujakosea bcz hao akina mama nao wanahaki ya kupendwa vilevile , kila la kheir