valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,855
- 895
Samahani kama ntakuumiza ila wewe jamani kama mtu alishacheat MARA KADHAA na ukamsamehe (meaning umekubali upungufu wakehuo) unalalamika nini akiendelea???Wakati unamsamehe mara zote hizo ulitegemea nini??Kwamba atajifunza kutokana na msamaha wako???
Ingekua hii ni mara ya pili ningeelewa malalamiko yako kwasababu ungekua ulimsamehe mara moja akaahidi kutorudia ukamwamini ila akajunja ahadi yake. Ila sasa wewe mara kadhaa....zote anatoa ahadi ya kuacha na bado haachi what did you expect???
Neway umeshajua ni mtu wa aina gani...sasa amua kama uko tayari kuishi maisha ya kuwa-cheated kila siku uendelee nae kama sio uangalie ustaarabu mwingine. Maana matumaini ya kubadilika hapo ni madogo kwakua umeshamzoesha kua utamsamehe...hivyo hajali sana matokeo ya matendo yake.
Achana nae. Ona tu mwenyewe what appears to me:
Anahishi Dar, na huyo dada anahishi Dar. Huyo dada hakujui (hajaambiwa kuhusu wewe) na 'mchumba wako' anampenda kiasi kwamba alishindwa kabisa kumwambia asimpigii coz anamkera yeye akiwa na wewe. Milivo amka yeye akarudi dar... Unadhani inakuwaje kule? How do you know hayoko katika harakati za kuomba na yule amsamee? maana kule kasema kuhusu wewe na huku kasema kuhusu yeye, now he is trying to solve huku, maybe he is also trying kule?
Kumbuka ni mtu sio mwaminifu sana as alisha wahi kukukosea in the past...
Sio Mume, hamjaanza hata maisha ya pamoja tayari anakuonesha vitu kama hivyo...
Ushahuri wangu: Achana nae...
Na usiulize sana watu kuhusu hatua ya kumchukulia, watazidi kukuchanganya. Hata mimi hapa nasema kutokana na haya umetwambia ila sijui uzuri wake na ubaya wake... Just think for yourself and decide for yourself.
Lol. Kama kulia watu tushaliliwa saana; wanaume wengine kulia ni hobby. Unakuta analia kwa wote wawili chezea. Hizo treak ni za kuwadanganya teenagers. Ulie, usilie umechiti; ungejua kuna kilio usingechiti at first place.
I wish ningerudi ujana wangu. Nimemiss adventures. Msichana kuringa bwana. Tuache tulo kwenye ndoa tujiulize mara mbili ila nyie mso na mkataba wala watoto what is that that is making you stick with a person that makes you cry.
Atakuwa anakuchiti analia unamsamehe; miaka inasonga kukuoa hakuoi; ukijashtuka 35 unaanzisha thread ya kuomba ushauri wachumba wamegoma. Kiwingu hicho dada; kiwingu; hakuna atakayekutokea ukiwa kwenye relationship; hata wewe huwezi ona wengine. Zinduka.
Hata akikuoa nina mashaka ndo hao wanaosema (hata humu JF)" ooh kuchiti lazima kwani hata wakati naoa nilikuwa na wasichana watatu kwa hiyo siwezi kuwaacha ghafla". Kuna mtu aliandika hivi kwenye thread ya cheating; I felt sick na huruma yani mtu unaanza ndoa day one na a cheating husband.
Pole sana, punguza mawazo. Na pia usichukue uamuz wa haraka. Tulia kwa muda muweke huyo mchumba mtegoni, mtege na umpime kama anaweza kubadilika. Ukiona anaweza endelea nae.
Hata hvyo naweza kusema na ww pia una tatizo, why uchumba tu miaka minne? Umesema una kazi nzuri na yeye pia sasa kipi kinachowafanya msioane? Sisemi muoane kama bado hamjawa tayari ila at least angekua mume wa ndoa ile security ingekuwepo na ungejua unambana vipi ila haya mambo ya uchumba tu na kuonjana mmh kazi ipo.
Mungu Akusaidie
NK huwezi kujua, huyu awe mpole tu. Tatizo wanawake mnakimbilia kuachana na wapenz then later inakula kwenu au anapata mpenzi cheater zaidi.
May b jamaa amecheat kutokana na mzingira tu so kama amekiri tena kwa kulia machozi ni wazi hamtaki huyo mpenz wa nje.
So huyu atulie kwa muda apime then atoe uamuzi sahihi na sio kukurupuka tu.
Kuna watu hata huwasemehe vipi bado wataendelea kukucheat wanajifanya wanakuja na gia ya kulia ili uwasamehe kumbuka a cheater will always remain a cheater kama mmeisha kaa kwenye uchumba miaka minne na amekucheat kiasi hiki je akaishakufanya mkeo itakuwaje si ndio utaambulia na kipigo kabisa kutoka kwake. Tafakari kisha Chukua HatuaNi mtu mzima ana miaka 29, anajua mema na mabaya, hata alipocheat alikuwa anajua anafanya nini.
kama wanawake wangekuwa ka we, Dunia isingekalika.