majina ya kihaya haya luta... somethingi jamani kwa mtazamo wangu huyu ni wa kiume anayebisha amchungulie ajue ni wa aina gani me huwa nanusa tu nishajua ni wa kiume msaidieni bado ana uoga hata wa kujielezea
Iwe Wagambire wana jf vizuri
Litamnyonya damu baada ya kumtenda

akipata jini mahaba?
Haya akinadada ofa hiyo toka Mpwapwa, application zikikuzidi mkuu niunganishie maana hapa Bongo/Dar kazi kwelikweli.Nimefarijika kuwa wapendwa angalau mna upendo na mnajali hata masahibu ya wengine. Kuhusu mimi ni mtoto wa mkulima na aidha najishughurisha na Kilimo ingawa mara moja moja nakuwa Mchuuzi kama nimepata mazao mengi, pia nina kaduka kadogo Mpwapwa mjini.
Kielimu mimi ni Form Iv. Ni mutu ninayependa sana ukweli ingawa unauma ila ni dawa tosha, utu ndio mtu, upole na mwenye kujali wengine. Sipendi kabisa usanii wala unafiki.
Najua kwa kiasi nimewajibu.

atakuwa "meke"

Nimefarijika kuwa wapendwa angalau mna upendo na mnajali hata masahibu ya wengine. Kuhusu mimi ni mtoto wa mkulima na aidha najishughurisha na Kilimo ingawa mara moja moja nakuwa Mchuuzi kama nimepata mazao mengi, pia nina kaduka kadogo Mpwapwa mjini.

Kielimu mimi ni Form Iv. Ni mutu ninayependa sana ukweli ingawa unauma ila ni dawa tosha, utu ndio mtu, upole na mwenye kujali wengine. Sipendi kabisa usanii wala unafiki.

Najua kwa kiasi nimewajibu.

Haya akinadada ofa hiyo toka Mpwapwa, application zikikuzidi mkuu niunganishie maana hapa Bongo/Dar kazi kwelikweli.

Nimefarijika kuwa wapendwa angalau mna upendo na mnajali hata masahibu ya wengine. Kuhusu mimi ni mtoto wa mkulima na aidha najishughurisha na Kilimo ingawa mara moja moja nakuwa Mchuuzi kama nimepata mazao mengi, pia nina kaduka kadogo Mpwapwa mjini.

Kielimu mimi ni Form Iv. Ni mutu ninayependa sana ukweli ingawa unauma ila ni dawa tosha, utu ndio mtu, upole na mwenye kujali wengine. Sipendi kabisa usanii wala unafiki.

Najua kwa kiasi nimewajibu.
:thinking:atakuwa "meke"

una kaduka kadogo wapiiiiiii? Kesho mchana nakuja kukopa vitu hlf uchumba unafatia. Sawa eeh?