Mwenzenu naangamia


dah natumia simnw ila ningekuwa kwenye computer ningekupa like kwa herufi kubwa mkuu umeonhea pointi tupu
 

Mke wako ni Mariam! Achana na Pasua Kichwa!!
 

Word!!!!!
 
Mbona wanawake tumejaa!
Huyo analeta ngebe kwa kuwa anajua huna ubavu wa kumuacha.
Na ukiendelea kumchekea...atakupanda kichwani.
Sisi wanawake tunajuana bhanaaaa...

Umemaliza kila kitu madame.. in short huyu binti (Amina) kamfanya huyu kama Mariamu wake. Kwa mtu anayekupenda kwa dhati (ambaye amefall in love) haiwezekani zipite wiki 3 bila contact hata ile tu ya kujifanya anampigia simu mtu mwingine ila amekosea No. Si dhani kama huyu Amina anakupenda vile. Maana wakati wewe una Mariamu , wewe na Amina mlikuwa ni marafiki tu na licha ya hivyo hizo msg kuna tarehe zilipotumwa? sasa tatizo liko wapi? au alitaka uwe bikira?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…