Mwenzenu majanga

Upo sawa kabisa mkuu, kutaka prestige ya kusoma vyuo wanavyoviita vikubwa, wanakuja kushtuka mwishoni hata hivyo walivyoviona vidogo vinakuwa vimeshajaa, hapo nani wa kulaumiwa??

ujue ucseme kitu ambcho huna uhakika nacho mwaka huu weng wamekosa chuo na wana gpa nzuri,msikalie kusema wanataka vyuo vzur hvohvo vbaya watu tumekosa
 
ujue ucseme kitu ambcho huna uhakika nacho mwaka huu weng wamekosa chuo na wana gpa nzuri,msikalie kusema wanataka vyuo vzur hvohvo vbaya watu tumekosa

Nazungumza kwa experience ya watu wanaonizunguka, hata hivyo samahani kama nitakuwa nimeongea vibaya, ushauri, endelea kucheki nafasi bado zipo.
 

Mkuu tafadhali sana naomba namba yako nataka kujua mengi kuhusu chuo cha st john maana nimepangiwa huko mpk sasa sielewi taratibu za chuo
 
wewe hata mim nilijaza edxn kote had huko udom na nimekosa nw et wanaleta za biashara c bora uache tu pcb hd biashara ni ujngaujnga tyu

Huu uandishi sasa, poleni
 
Upo sawa kabisa mkuu, kutaka prestige ya kusoma vyuo wanavyoviita vikubwa, wanakuja kushtuka mwishoni hata hivyo walivyoviona vidogo vinakuwa vimeshajaa, hapo nani wa kulaumiwa??

absolutely ryt. wanachagua vyuo kimajina baadaye 2nd round wanaanza kutapatapa. mtusamehe ila tunaongea from experience
 
mwakani elimu bure mpaka chuo kikuuuuuuuuuu.
 
mwenge haipo tena


hebu jaribu tena kuchek mwenge catholic university hata kama capacity ni 0 jifanye chizi cjui ni MW002 tehtehteh kwa sayansi kwa mwenge sayansi ni lulu wanapendwa sana
 
Mbonaa ipoo MTU nimemfanyia muda si mrefu mwenge catholic university (mwecau)
 
Kweli penye wengi hakiharibiki kitu ni kweli kaka mwenge kipo tena kinanafasi nyingi ngoja tusibiria tena maamuzi ya TCU ahsanten sana na pia kama vpo vingine mtujuze coz kuhairisha mwaka kama wadau walivyochangia inaw eza kuwa tatizo zaidi
 
Ahsante ni wote kwa ushauri mliotoa and naamini kwa ushauri wenu nitatoboza ubarikiwe sana
 
Hauko serious wewe yaani mtu upate 2.10 tena pcb ukose chuo??? Au ndo brn ????

Usimshangae mkuu mm nina dogo langu amemaliza 2015 lilipiga B+*3 div 1.6 ya zamani hiyo, cha kushangaza 1st round wakamtema amekuja kupata 2nd round.... BRN ni bomu linalosubir mda ufike lilipuke.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…