Mwenzenu majanga

dah kaka unankumbusha vit vya ataly sana uktaja practical A ya physics mwaka jana ilkua noma sana bonge la chenga mwili wat jasho lnatutoka t ndan atuelewi kinachotutokea,,ilkua noma sana dah..
 
sitaki kuamini kwamba walimu wa sayansi wametosha kiasi kwamba mtu alieomba ualimu akose.

Hiyo inawezekana mkuu maana kuna dogo yeye PCB B + B C machaguo manne ya mwanzo alijaza vyuo vya afya mwisho ndo akaweka education, wamempa hiyo hiyo ya mwisho sembuse huyo?
 
pole bana ila cheki na vyuo vya private ambavyop ada yake ni ndogo maana najua pesa ni ngumu. achana na vyuo vya gavament.
private usindan mdogo. na nahic ndo machaguo yako. we chek na vyuo kama marian, mwenge n.k na uhakika hukosi
 
tatzo ujuaji mwingi!!
Mwenzako kaomba ushauri we unasema "ujuaji"...chukulia kams kingrtokea kwako kitu kama hichi....kama nyuzi hujaipenda basi iache sio lazma kukoment au kuingilia nyuzi ambayo huna msaada,We elimu ikusaidie sio uisaidie.....!
 
Hiyo inawezekana mkuu maana kuna dogo yeye PCB B + B C machaguo manne ya mwanzo alijaza vyuo vya afya mwisho ndo akaweka education, wamempa hiyo hiyo ya mwisho sembuse huyo?

mtu wa science kukosa ualimu ni jambo linaloshangaza sana. kama alijaza machaguo ni ualim tupu ndipo napata mashaka
 
hebu angalia mwecau wanapenda sana watu wa sayansi mkuu unaweza ukachukuliwa ila kama ni kilaza hio msuli wake mwecau ni shiiiida check unipe mrejesho
 
Mwenzako ushauri we unasema "ujuaji"...chukulia kams kingrtokea kwako kitu kama hichi....kama nyuzi hujaipenda basi iache sio lazma kukoment au kuingilia nyuzi ambayo huna msaada,We elimu ikusaidie sio uisaidie.....!
man of the year ni fara sana,MTU anaomba msaada yeye analeta usenge.

ma
 
Mwecau ipooo kwenyeee list angalia mkoa wa Kilimanjaro
 
Cjaipata mweca labda code zake kama unazikumbuka
 
sitaki kuamini kwamba walimu wa sayansi wametosha kiasi kwamba mtu alieomba ualimu akose.

Suala sio waalim kutosha bali nafasi za kusoma vyuoni hazipo!Ni bahati mbaya kwamba hakuchagua ktk first round na second,kuja kushtuka ktk third round zimeshajaa.
 
ufahuru = ufaulu
fulcut = faculty

Kwa namna hii itakuwa ngumu sana hata ....
 
Suala sio waalim kutosha bali nafasi za kusoma vyuoni hazipo!Ni bahati mbaya kwamba hakuchagua ktk first round na second,kuja kushtuka ktk third round zimeshajaa.

kwa nnavyojua mm, UDOM hapajai hasa kwa walimu wa sayansi. kutaka kusoma vyuo vikubwa (km jinsi wanaviita) ndio huwagharimu. km vp atuambie machaguo yake ya mwanzo
 
kama huoni chuo kizuri usiwe na papara. fanya kuahilisha tu mwaka huu,tuliza akili ujipange kuomba mwakani kwan utakua umeshajua wap ulipobugii...
Mimi apa nlipata balaa km hilo mwaka Jana ,niliomba 2nd round nkapata lkn roho yang haikua imeridhika . nlifanya uamzi mgumu wa kughail na nkaomba upya mwaka huu ..thanx Lord ikatik..
So, usijal jamaa ndo changamoto za maisha. Ukiona vikwazo vinakua vingi ujue umekua sasa. Jifunze kuzikabili. Hope GOD atakufanyia wepesi
 
co lako peke yako hata mim limenipata ila nilivyoambiwa nichague third round nikachagua then nikaaply diplma clinical medicne,digrii nimekosa tena et niombe round ya nne na diplma nimepata mim tcu naona washenz tyu
 
kwa nnavyojua mm, UDOM hapajai hasa kwa walimu wa sayansi. kutaka kusoma vyuo vikubwa (km jinsi wanaviita) ndio huwagharimu. km vp atuambie machaguo yake ya mwanzo

wewe hata mim nilijaza edxn kote had huko udom na nimekosa nw et wanaleta za biashara c bora uache tu pcb hd biashara ni ujngaujnga tyu
 
wewe hata mim nilijaza edxn kote had huko udom na nimekosa nw et wanaleta za biashara c bora uache tu pcb hd biashara ni ujngaujnga tyu

cc ram ......
 
Last edited by a moderator:
kwa nnavyojua mm, UDOM hapajai hasa kwa walimu wa sayansi. kutaka kusoma vyuo vikubwa (km jinsi wanaviita) ndio huwagharimu. km vp atuambie machaguo yake ya mwanzo

Upo sawa kabisa mkuu, kutaka prestige ya kusoma vyuo wanavyoviita vikubwa, wanakuja kushtuka mwishoni hata hivyo walivyoviona vidogo vinakuwa vimeshajaa, hapo nani wa kulaumiwa??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…