Wana jf mko pouwa,,, jamani naombeni ushauri coz nko stressed cjachaguliwa coz yoyote na TCU up 2 now even private na ufahuru wangu ni GPA ya 2.7 nimesoma pcb na nilijaza almost education sasa sijui nifanye nini hh 4th round hakuna fulcut yoyote ya sayansi zaidi ni education in art msaada wa mawazo na ushauri ilinijue nitafanya nn coz hata him bado cjawabia
Jina la Mungu mkuu the creator of the universe DAIMA huanza na herufi kubwa: God. Kutofanya hivyo ni kukufuru unless kama unamaanisha tumiungu hutu twingine tusito na mbele wala nyuma!Exactly alwayz god is good
Atajazaje arts na hana vigezo?mnataka akose na raundi hii
Tz elimu ngumu sana.
hyo gpa ni sawa na div ngap kwa old sys? au masomo una alama gn
2 . 10