Mwenzenu Kinachonitoa roho ni hiki hapa

Mwenzenu Kinachonitoa roho ni hiki hapa

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini marafiki zangu mjengoni humu


Kila nikikaa na kutafakari ni lini nitapata
kitu kama hichi kwani moyo watamani
akili na mwili vyatamani nili nitaendesha
dude hili jamani maana nimeshachoka na kavitz
nataka kanew brand Toyota Velossa jamani
nifanyeje nikapate haka kwani kananitoa roho mie

Hebu kaangalieni kalivyotulia hapa:


bb.jpg bbb.jpg

hebu kaangalieni kwa ndani kailivyo jamani:

bbbb.jpg

Song lake:

nashindwa kulala homa ya velossa yaniuma;
machozi hayanishii; kila mara nikatazamapo,
usiku hauendi naona kiga kukapata eheeex2
mwenzenu nifanyeje au niwekeze hela nikapate X2
 
yaani wwe acha tu best inanitoa roho ile mbaya
namwomba mwenyezi anisaidie ili niweze kuipata
kabla sijatwaliwa ila umekosea kumtaja huyo huyo
huyo no3 angalia usijeleta balaa mjengoni hapa

Kwani yeye n-nani?
 
Back
Top Bottom